Recent content by Vatoi

  1. V

    JamiiForums Tanzania GE2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

    Haujawahi kuiba wewe, bora kuwe na vibaka kuliko jambazi!
  2. V

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    lowassa ni jembe tu, ccm ikitaka kupotea ndio kipindi chenyewe, LOWASSA NDIYE RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  3. V

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    wewe huna jipya, mfumo gani unamlinda? una uaminifu gani? wewe umekosa cheo ndo maana unahangaika tu!!!!!
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mdee apelekwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Halima mdee ni sawa na Primus Saidia, Yeye anatafuta madaraka kwa kuangalia upepo,leo CHADEMA KESHO CCM, NAMSHANGAA KAMA CCM WATAMPITISHA KUGOMBEA NAFAS YA UBUNGE, KWANI HUYU TANGU MIGOMO YA MADAKTARI HE WAS A RING LEADER, I WONDER TODAY HE IS A CCM MEMBER, MUWE MAKINI ,ULIZEN TUNAO MFAHAMU...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

    Nyie mnaangaika na wassira na sitta, ya kwenu yamewashinda mmekosa hoja sas ni umbea tu! na membe nae ni RAIS?:hatari:
  6. V

    JamiiForums Tanzania ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

    yaani wewe umekosa cha kusema, unasubiri wapi mtu adondoke ndo uingie,? Pole utabaki na utaratibu wako wa kuangalia mikono ya watu kama inadondoka kama fisi
  7. V

    JamiiForums Tanzania ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

    Nasikitika sana kama kweli CHADEMA NI WATANZANIA AU LA, KATIKA KAMPENI NA PITAPITA YAO WANAWADHARAU WATANZANIA ETI TUMEZOEA KUPEWA BURE, WAO WAMEFANYA NINI ZAIDI YA KWENDA KWA WALE MASHOGA NA KUOMBA MISAADA? WANAFIKIRI KUWA NA HELKOPTA NDIO KUONEKANA WAPIGANAJI. CHADEMA WENGI WAMEFANYA SIASA...
  8. V

    JamiiForums Tanzania ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

    Ulikuwa unataka nini? machadema yameona hayana means tena ndo maana yamebaki kujamba tu! DANGOTE NA CCM HOYEEEEEEE!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    Chadema ni mchangia pote na wamebaki kukimbizana nch za watu kupiga kelele na kurudi kapa. Kama kenya waliambulia kilio tu.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kawe: Vurugu zaibuka, Wananchi wavamia kituo cha Polisi! Mabomu yarindima

    Hao ni chadema wako kazini kwani hawana cha kufanya ni kuchochea vurugu mpaka eti waingie IKULU > Haya mkuu, tutaona
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Mch. Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) sio ishara ya kujisahau?

    Elimu yake imefikia wapi?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kutikisa Same Jumanne

    DR. wa ukweli maana yake ni nini? anatikias yamekuwa maembe? we unabaki unashadadi tu na huku unapiga miayo!
  13. V

    JamiiForums Tanzania Arumeru Magharibi kwachafuka...

    YAANI NAWASHANGAA NA WASOMI WANAVYOBURUZWA NA CDM WAKATI ASILIMIA 90 YA CDM NI FORM FOUR LIVER, KWA HIYO UKIKIMBILIA CDM NDIO UMELETA UADILIFU? hata tungewka vyama Mia WATANZANIA NI WALEWALE, CCM WAMEKIMBILIA CDM KWA HIYO SUMU YA UFIASDI IMEISHA? SLAA SI NAE ALIKUWA CCM MPAKA LEO ANANGANGANIA...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Arumeru Magharibi kwachafuka...

    Ninachojua MFA maji haachi kutapatapa, Endeleen Kuji PLEASE!
  15. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya haya, CHADEMA 2015 hakuna kizuizi kuingia ikulu!

    Hawa wa cdm hawana expossure ya magorofa ndio maana wanaraisisha mambo
Back
Top Bottom