Mdee apelekwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali

Mdee apelekwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali

Wapigania uhuru walikuwa hivihivi,walipigwa,waliteswa na hata kufungwa,mfano mandela na wengine wengi,lakini haeakukata tamaa na uhuru ulipatikana.hata hapa tanzania uhuru upo,huo unakuja,tutapambana tu hivihivi mpaka tutakuwa huru.
 
Polisi wanapoteza muda na fedha za nchi tu hakuna kesi hapo.bora wakawasake wauaji wa albino kuliko kazi isiyo na tija.
 
adhabu ya kuandamana bila
kibali ni nini?
_anayeijua hiyo sheria aweke
hapa wakuu..
_tangu nimesikia hizi kesi
hakuna hata mmoja
ameshawahi kwenda jela
kwa kosa la kuandama labda
hiyo sheria haipo
 
Polisi wetu wana tabia ya kufanya mambo madogo yaonekane makubwa, na mambo ya maana wanayapuuzia. Ni aibu sana, na dalili mbaya kwa Watawala.

Kosa dogo kama hilo, unashangaa miguvu mingi na ulinzi wa kutisha wakati kesi kubwa kama utoroshaji wa wanyama nje ya nchi Mtuhumiwa anatoroka kilaini, majambazi yanapora mchana kweupe na kuuwa watu na kutoroka kama vile polisi hawapo.

Vv

Sababu kubwa hapo ni elimu duni waliyonayo polisi wetu. Hiyo miguvu mingi ni kutaka waonekane ili wapewe vyeo! Kweli watu hao wanafanya kazi kama mbwa tu! Wakiambiwa kamata, wanakamata bila kujiuliza ni kwanini wanakamata.
 
adhabu ya kuandamana bila
kibali ni nini?
_anayeijua hiyo sheria aweke
hapa wakuu..
_tangu nimesikia hizi kesi
hakuna hata mmoja
ameshawahi kwenda jela
kwa kosa la kuandama labda
hiyo sheria haipo


mkuu police ni form4 failures gumbaru gumbaru yakivalishwa mavazi yale ya kwenda mwezini yanajihisi kama kina neil Armstrong kumbe yanatumika kama ndom.kifupi hamna sheria ya aina hyo policcm majinga sana
 
Nani aliwahi kwenda jela kwa kuandamana?


Wafuasi wa shekh ponda, walipo andamana bila kibali hadi kwa dpp, ili shekh apewe dhamana ambayo ni haki yake kisheria....

, waliokamatwa ktk maandamano hayo walihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela.
 
adhabu ya kuandamana bila kibali ni nini?
_anayeijua hiyo sheria aweke hapa wakuu..
_tangu nimesikia hizi kesi hakuna hata mmoja ameshawahi kwenda jela kwa kosa la kuandama labda hiyo sheria haipo
na kwa kuongezea ,hivi mbunge huwa ana kinga fulani?ya kutokamatwa kisanii?
 
halima mdee ni Wa kufungwa akanyee ndoo kama shekhe ponda.
Tumia akili yako vizuri, makosa yao hayafanani.
Hawa polisi wanaomwagia mama zetu maji ya kuwasha kwa kutumia haki yao iliyo kwenye katiba wanatumwa na nani? Nchi inaendeshwa na polisi, ajabu!
 
Kikwete anataka kujifanya kuendesha hii nchi kama Kagame, itamshinda.
 
Halima mdee ni sawa na Primus Saidia, Yeye anatafuta madaraka kwa kuangalia upepo,leo CHADEMA KESHO CCM, NAMSHANGAA KAMA CCM WATAMPITISHA KUGOMBEA NAFAS YA UBUNGE, KWANI HUYU TANGU MIGOMO YA MADAKTARI HE WAS A RING LEADER, I WONDER TODAY HE IS A CCM MEMBER, MUWE MAKINI ,ULIZEN TUNAO MFAHAMU, UDOKTA NI ELIMU YA DARASANI TU,SIO YA UADILIFU WALA MAADILI
 
Back
Top Bottom