Haya mawazo ndo huwa nayakataa.....eti mshukuru Mungu kwa kila jambo
Unajuaje, labda wakinilipa vizuri naweza kuajiri watanzania wenzagu...sio hivyo tu pia nitasaidia ndugu, jamaa na marafiki kwa kipato changu kuwa kizuri
Mhindi akiletwa hajui chochote na mnamfundisha ninyi, baada ya mda mfupi...
Output sifuri? Mhindi akuajiri afu output hamna then akuache uendelee kula hela yake? Sio kirahisi hivyo mkuu
Hawa jamaa ni wanyonyaji kiasili, afu ni kama huwa wanajadiliana kabisa mishahqra ya kuwalipa watu
Maana hata ufanye kazi kwa bidii vipi hawezi kukulipa zaid ya 20k kwa siku......wao...
Hao "A to Z" hawafai kabisa, ni zaidi ya mashetani
Kwanza unafanya kazi masaa 13 afu hurusiwi kwenda na simu kazini(utafikiri mpo shule tena boarding)...ukikutwa na simu, unakatwa laki moja kwenye mshahara wako na simu wanaichukua
Kwa shida zile naamini kuna watu wa serikali wanakula nao
Mwangole Lodge itakufaa zaidi mkuu
utapata huduma zote muhimu hasa kwa mazingira ya baridi kama mbeya kwa viwango vya hali ya juu na kwa bei elekezi
ipo uyole au mwanjelwa na zipo karibu kabisa na stand...huku mazingira yake yakiwa safi na salama.
bei ni kati ya 15k hadi 25k
karibu sana...
Mungu anatulinda na mengi
ndo unashangaa mtu una afya safi kwa mwonekano afu unaanguka ghafla, kumbe huyo mdudu aliacha sumu inakumaliza taratibu taratibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.