Style ya mapenzi ambayo binadamu ameiga kwa wanyama

Nyeee maskini dhaambi!!!
Ndio mana umeweza kujifananisha na mnyama
Sijaelewa , nini unadhani kimenifanya nijifananishe na mnyama, umasikini au?

Kuna makundi makuu mawili ya viumbe hai, wanyama na mimea, wewe unadhani binadamu tuko kundi gani?
 
Style ya popo kanyea mbingu tumeiga kwa kiumbe gani?
 
Kileleni Noma Yaani No Answer, No Question
😂😁😀😀
 
Kuna style nyingi za kukutana kimwili kwa binadamu, lakini asilimia 80 ya style anazotumia binadamu amecopy na kujipestia.

Moja ya style alizocopy na kujipestia, ni hii ambayo ni maarufu kuliko zote duniani, ambayo wameiga kutoka kwa wanyama.

Wenyewe wanampa sifa mbwa kwa kuiita style ya mbwa lakini hii hufanywa na wanyama wote unaowajua wewe.

Kiufupi style pekee ya kukutana kimwili kwa binadamu wa kiume na wa kike ni wakike kulala mlalo wa mende aliyekufa na wa kiume kuja juu yake.

Zaidi ya hapo asilimia 80 ya kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume tumeiga zote.

View attachment 1104464
Kama kungekuwa na sauti ungemsikia Simba akipiga lile yowe la nakogoaaaaaa
 
Kuna style nyingi za kukutana kimwili kwa binadamu, lakini asilimia 80 ya style anazotumia binadamu amecopy na kujipestia.

Moja ya style alizocopy na kujipestia, ni hii ambayo ni maarufu kuliko zote duniani, ambayo wameiga kutoka kwa wanyama.

Wenyewe wanampa sifa mbwa kwa kuiita style ya mbwa lakini hii hufanywa na wanyama wote unaowajua wewe.

Kiufupi style pekee ya kukutana kimwili kwa binadamu wa kiume na wa kike ni wakike kulala mlalo wa mende aliyekufa na wa kiume kuja juu yake.

Zaidi ya hapo asilimia 80 ya kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume tumeiga zote.

View attachment 1104464
Unajua paka anatumia style gani?
 
Back
Top Bottom