Hukumu iliyotabiriwa

Hukumu iliyotabiriwa

imetosha jamani arghhhh
8365f356c2402018725cbdf1c4fe08e9.jpg
 
mie nafurahi mnasikitika kitu gani hii nchi wanafaa kuwepo kina Sugu Lissu Mdee kama 500 hivi ili tukombolewe............ tutaogopa hawa wauwaji mpaka lini? wacha akakomae kisiasa

usiogope....

nguvu ya umma ikiamua hakuna Jeshi wala nguvu yoyote wa kuinyamazisha wacha watufunze ukakamavu...... maana tunaelekea huko............
 
Yaani miezi mitano tu? Ilibidi mvua hata miaka mitatu imnyeshee ili atie adabu vizuri. A ubuge safari hii ndio mwisho. Hata iweje jimbo litachukuliwa ili kupunguza ujinga wao
 
Yaani miezi mitano tu? Ilibidi mvua hata miaka mitatu imnyeshee ili atie adabu vizuri. A ubuge safari hii ndio mwisho. Hata iweje jimbo litachukuliwa ili kupunguza ujinga wao
Duuh, hata iweje? Hizi kauli mnavozitoa mnakua mpo karibu na Magu nn?

Njaa mbaya sana
 
Unatukana,na unajua sasa hvi mkulu kaweka sheria ya uchochezi..hvi huo ni uonevu ?lbda mi sielewi.
 
Kikwete angekuwa na japo akili nusu za huyu bulldoser, wale waliosoma the "list of shame" naona wangehukumiwa kunyongwa kabisa. Itafika wakati yale maombi anayoomba aombewe, wengine watakuwa wanaomba Mungu Baba afanye finishing tu.
 
"Sema MAMA"

"Ahaaa"

"Hawataki"

Wanachotaka wewe upate tabu...

Raha kidogo tu chuki bila sababu...

Najua MAMA...

Hili nitalikabili...

Kwani najua JEURI dawa yake ni KIBURI...
 
Yaani miezi mitano tu? Ilibidi mvua hata miaka mitatu imnyeshee ili atie adabu vizuri. A ubuge safari hii ndio mwisho. Hata iweje jimbo litachukuliwa ili kupunguza ujinga wao
andaeni majambia na mapanga ya kutosha ak 47 mbeya ni ya Sugu
 
safii sugu tupo pamoja........ bila nyie hatuwezi kukombolewa ukituko tunaendelea ulipoachia aluta continua
 
Mnyampala anafanya kazi,muombeeni anasema kazi mliyompa/msukumizia ni ngumu
 
Yaani miezi mitano tu? Ilibidi mvua hata miaka mitatu imnyeshee ili atie adabu vizuri. A ubuge safari hii ndio mwisho. Hata iweje jimbo litachukuliwa ili kupunguza ujinga wao
Upo na kiringo anazibua toi....
 
Back
Top Bottom