Recent content by Vanbizo paul

  1. Vanbizo paul

    Hivi kukonda na kunenepa kipi Rahisi?

    Modo in real life...[emoji28][emoji28]
  2. Vanbizo paul

    Hivi kukonda na kunenepa kipi Rahisi?

    Stress zinamkondesha mtu.. Kuridhika kimaisha kunamnenepesha mtu na sio mlo...
  3. Vanbizo paul

    Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Nothing is permanent in this world,when a glass breaks,no matter how you try to put it together still u'll see the cracks,focus in ur life let God handle the test...
  4. Vanbizo paul

    Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

    Hapana labda kama nipo na mke wangu tu..
  5. Vanbizo paul

    Harmorapa Fans' Special Thread...

    Kwa hiyo yeye pia ni sex machine kumbe..[emoji2][emoji2][emoji28]
  6. Vanbizo paul

    Simba sports club kuweni makini TFF kupitia Kagera wanataka kuisaidia Yanga.

    Kadi 3 but 1 alipata kwenye FA na 2 kwenye ligi!!Mbona unachanganya?
  7. Vanbizo paul

    Nape, Bashe na wengine; Msitishwe,simamieni mnachokiamini

    Wanakimbiza vivuli vyao wenyewe..
  8. Vanbizo paul

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Tanzania tumejaliwa kutengeneza very low quality things,so how do u expect mtu mwenye akili zake aka spent alot of money on low quality movies?Buy something which u know u'll enjoy no matter how expensive it is,ndo maana tunanunua za huko nje..
  9. Vanbizo paul

    Nahisi kuna Mawaziri wanajisemea moyoni "Natamani nivuliwe Uwaziri hata sasa"

    With all those free things haf una expect mtu atamani kutumbuliwa jipu,mhhh we muulize Nape anajua..
  10. Vanbizo paul

    Tanzania Tujifunze kwa DANGOTE: Pale Viwanda, Kilimo na Ajira vinapokutana

    Nguvu nyingi akili kisoda..Starehe ndo zinatuponza..
  11. Vanbizo paul

    Maajabu ya Tanzania: Kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi

    Tanzania tupo tupo tu,we don't know how to demand our rights..Any way uwelewa ndo mdogo.
  12. Vanbizo paul

    Chini ya saa 6 kuwapata wauaji wa Polisi, ila Roma, Saanane, Ulimboka, Nape, uchunguzi unaendelea!

    Usemi wakuwa polisi ndo wamebeba/wanalinda uhai wa raia ndo unatumika hapo sasa..
  13. Vanbizo paul

    Kwa roho moja, taifa moja, Kamanda Lema ateuliwe kuwa Waziri wa mambo ya ndani

    Yes[emoji106][emoji106][emoji106] for Lema..
  14. Vanbizo paul

    Edward Lowassa asimamishwa na wananchi akielekea Mpwapwa

    Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni..
Back
Top Bottom