Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
Nilikuwa na mpnz bhana tukilala siunajua tena wapenzi huwezi mkakala na Nguo lbd boxer mwanaume mie bikini sasa siku hiyo tukalala hivyo hivyo.....usiku nikashtuka nikamkuta mwenzangu kalala usingizi kbs lkn anachezea kigegedeo chake....nikamuacha Siku nyingine tena nikamuona nikamuamsha Alf nikamuuliza ananambia mi hata sijijuiembu tudokeze kiduchu basi mkuu umekumbuka wapi ?