Ukondefu unaninyima amani nifanyeje ili nipate walau vinyama kidogo

Una mwili mzuri Sana boy hapo upeleke dojo tu upate stamina na nguvu za kutosha mwili usitake kunenepa Sana.

Na kushauliwa fanya BMI kwanza kisha ujue uko katika underweight,over weight, obesity

Ukipata majibu ndio utajua uanzie wapi mzee baba Ni ushaur tu.
Ahsante mkuu ila kwa sasa nataman mwili flani wenye kitambi maana kila kitu kinanafasi yake kulingana na sehem uliyopo mwili wangu unaninyima michongo mingi kutokana na kutaminika kwa watu ninaotakiwa kufanya nao kazi
 
We kula vitu vya sukari na mafuta tu ila nyama ndio nzuri kwa kujaza misuli. Hakikisha hukosi bakuli ya supu ya ng'ombe deile.

Mchana ugali na nyama ya kitimoto roast.

Jioni kuku choma na chips zitakufaa sana mkuu. Huku ukisindikizia na malta.

Nakupa mwezi na nusu tu, ulete majibu hapa.
Hapa unamtafutia na magonjwa tu :D :D
 
Weee Jamaa acha kumkufuru Mungu unawajua vimbaumbau wewe???? Mamaee mpaka misuli naiona unataka Ubonge upeleke wapi????? Sasa huo ulionao ndo mwili wa kiume labda kama demu wako kasema usiponenepa anakuacha Ukapagawaa ukaja mbiombio huku kuomba ushauri kwa kitu cha kijinga..

UBONGE HAULIPI...huo ndo mwili wa kiume acha kuendeshwa na MWANAMKE.
 
Huyu sharobaro ataweza kusindilia nyama kweli zaidi ya mishkaki minne
Hahaha tatizo bila kuridhika hunenepi, inabidi ukubaliane na hali ya maisha kwanza. Then unene utakuja tu.

Hapo hata kama ni kufuata diet stress hazitakiwi kabisa.
 
Back
Top Bottom