Recent content by vampire_hunter007

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania jamatycargoagent.blogsport.com

    Zv Sent using Jamii Forums mobile app
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. V

    JamiiForums Tanzania Best media blunders

  4. V

    JamiiForums Tanzania Mbinu zozote zitatumika kisiasa kukibomoa chama kingine!

    Sasa mnajichanganya........Wenzio wanatafuta namna ya kukana ushahidi wewe unakuja kujustify......Hebu kadiscuss kwanza na wenzio kwenye group lenu mje na msimamo mmoja
  5. V

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

    Hivi anaitwa Zarieth au Zarina?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

    Its easy, tutakuwa unaanza na kusema HABARI HII NI YA KUFIKIRIKA....Kisha mtu unatiririka kwa kutumia majina ya kufikirika kama Bashite, Pombe, etc
  7. V

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakaa na mkeo kila saa kama jiwe la honge

    Nilianza kuusoma uzi kwa makini mpaka nilipofikia sehemu ya kitimoto, nikasema anhaa kumbe huyu ni katika waleeee, ......Basi sawa
  8. V

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!

    Yani hatari sana hizi akili za hawa viumbe
  9. V

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

    Narudia tena katika mtu mwenye mashabiki mataahira nasib anaongoza
  10. V

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!

    Halafu hawa hawa wanaosema leo Tanzania haijulikani ndio waliokuwa wakisema Magufuli anasifika dunia nzima..... Watz bana
  11. V

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

    Katika mtu mwenye mashabiki wasio na akili Nasib anaongoza......Sasa hii inahusikaje na kumshusha mtu? Yani kuna watu wanatia huruma walivyo mataahira Wasanii wote wanapenda kuzungumziwa, its good for business...Na muda mwingine ni wao wenyewe ndo wanajitengenezea scandals ili wabaki midomoni...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Ni kweli walimu wamesamehewa kodi ya kuimport magari?

    Thanx alot Sent using Jamii Forums mobile app
  13. V

    JamiiForums Tanzania Ni kweli walimu wamesamehewa kodi ya kuimport magari?

    Habari wakuu, Kama heading inavyojieleza, kapita pita pita zangu nikapata hii taarifa kuwa walimu hawalipi yale makodi ya TRA wanapoagiza magari, naomba wenye ujuzi wanipe ukweli upoje na kama kuna link yoyote nitakapoweza kupata taarifa rasmi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. V

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

    Hahahaha....Yani team diamond mnafurahisha sana.....Leo mnakuja na gia ya kutokuwa na timu? Hhahaha, sasa ishu iko hivi....Kama wewe hujauona kuwa ni mzuri...Kina moodewji, prof jay, ngeleja, kigwangala, mwanafa, ridhiwani, itv, clouds, earadio, mimi, mke wangu,etc wote wameuona ni mzuri... So...
Back
Top Bottom