Recent content by vamda

  1. vamda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamwaga hakwenda Ubalozi wa Marekani kujiridhisha kama kweli Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko USA?

    Inashangaza sana. Sijui watz nani aliyetuloga
  2. vamda

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

    Hoja yako isikilizwe
  3. vamda

    JamiiForums Tanzania Free Diddy Now!

    Umetumia fasihi. Wenye akili tu ndoo watakaoelewa unachomaanisha. Hongera kwa kukwepa mkono wa polisi[/USER]
  4. vamda

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania irekebishwe kuwe na sifa kuu ya kuwa Mbunge iwe Msomi wa Sheria,Uchumi, Maendeleo ya jamii na maswala ya fedha!

    Hoja yako ina mashiko. Ifanyiwe kazi ili Tanzania iwe miongoni mwa nchi zenye maendeleo makibwa
  5. vamda

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    Je kiwanja chako kiko eneo la tambarare au kwenye mwinuko?
  6. vamda

    JamiiForums Tanzania Je Unahitaji, mashine bora za umeme kwaajili kufyatua Tofali?

    Kwa nini unaogopa kutuonesha bei yako? Kitu gani kinakupa hofu?
  7. vamda

    JamiiForums Tanzania Kama CCM kufuatana na katiba yao wangeli float majina yapigiwe kura, Samia asingelipita kura za maoni za NEC!

    Lugha kubwa za duniani zote umeweka. Dunia nzima sasa inatambua kilichopo hapa Tanzania
  8. vamda

    JamiiForums Tanzania Tupike maini na matembele

    Baada ya kutukaribisha nini kilifuata?
  9. vamda

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo

    Mshauri taratibu. USIMFOKEE
  10. vamda

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Security camera kama bulb, bei 30,000 tu

    Ukiconnect kwenye simu utaona matukio ukiwa mita ngapi?
  11. vamda

    JamiiForums Tanzania Kama tungewaacha Wachina Kariakoo, wangeharibu mfumo mzima wa biashara ya Tanzania

    Mmepata kiwewe. Wachina wanatuuzia bidhaa kwa bei nafuu, pia wanalipa kodi stahiki. Nyie wabongo mmezoea kutupiga bei kubwa, kodi mnakwepa. Kiama chenu kimefika
  12. vamda

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wapoland wa kawaida wanavyojiandaa kwa uvamizi wa Urusi

    Vita ya Russia dhidi ya Poland itaisha siku moja tu. Poland yote itatekwa
Back
Top Bottom