Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

Mbona bei rahisi sana kama unashida ya hela tafuta namna nyingine..hicho ukivumilia miaka 10 una million 150 zako.
 
Mbona bei rahisi sana kama unashida ya hela tafuta namna nyingine..hicho ukivumilia miaka 10 una million 150 zako.
Rahisi mno kaka. Ni kweli viwanja vinapanda thamani kila siku maana 2011 wakati tunanunua hili eneo bei ilikuwa chini mno. Na ukuaji wa huku ni wa kasi sana naamini hata miaka mitano mbele inaweza kuwa zaid maana kuna hospitali kubwa sana inajengwa mfano wa muhimbili jirani na eneo ambapo ni meta 300 tu.
 
Nauza kiwanja kipo Toangoma Malela
Ukubwa sqm 800 (40×20)
Kiwanja kina hati ya wizara miaka 90
Mtaa umepangika vizuri na barabara za mtaa safi.
Kilometa 1.5 kutoka barabara ya Kongowe Kigamboni (Funcity)
Kilometa 1 kutoka barabara ya vikunai Chekechea.
Bei Tsh Milioni 18 (Neg)
0717727504
Je kiwanja chako kiko eneo la tambarare au kwenye mwinuko?
 
Nauza kiwanja kipo Toangoma Malela
Ukubwa sqm 800 (40×20)
Kiwanja kina hati ya wizara miaka 90
Mtaa umepangika vizuri na barabara za mtaa safi.
Kilometa 1.5 kutoka barabara ya Kongowe Kigamboni (Funcity)
Kilometa 1 kutoka barabara ya vikunai Chekechea.
Bei Tsh Milioni 18 (Neg)
0717727504

Bei rahisi, too good to be true
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom