Nisaidieni mawazo

Nisaidieni mawazo

Usiache kazi kwasababu ya mapenzi..Love as no guenteee.Hayo mengine ni maamuzi yako kwasababu hatujui hisia zenu kati yenu zikoje.Tunaweza tukashauri weee ila mwishoni ukajipeleka mwenyewe.Mapenzi hayana kanuni wala ushauri mana Moyo wa mtu kichaka watu wanarudiana sana siku hizi ata kama waliumizana vip.
 
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Kosa lako hujagegedwa vyakugosha na wanaume wengine.
Ebu kwanza gegedwa vyakutosha huyo bby daddy utamuo a kama nyani aliyechangamka changamka tuu.
 
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Usijaribu kuacha kazi kwasababu ya Malaya.
 
nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje
Huwa naamini, mara nyingi mtu anayekuja kuomba ushauri mara nyingi hasa mtandaoni, lengo kuu ni kutafuta faraja.

Coz maamuzi ya mtu binafsi hasa kuhusu hatma yake huwa amefanya na amekuwa tayari amefanya! Mfano wewe tayari umeamua kurudiana na baba watoto ila umekuja kutafuta maoni kuhusu uamuzi wako!
 
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Unainekana unampenda Sana.

Tafuta kwanza maisha mtaona tu hata badae.
 
Usiache kazi.

Jamaa aonyeshe jinsi gan yuko serious na hilo suala la kurudiana na ww

kwanza kwa kulea mtoto wake vizur.
-akuhudumie.
-kama umeridhia basi uwe unaenda for weekend kuonana nae.
-mwambie afuate taratibu za kupeleka Barua kwenu, mahar na atangaze ndoa
-mfunge Ndoa.

(Maana umesema hajapeleka barua kwako wala kwa huyo mama mtoto wa pili wa mika 4).

- Akupe mtaji wa biashara baada ya kufunga Ndoa .

Akifanya haya yote ndio unaweza kuacha kazi.

Sasa ww nenda kizembe ukajiachia ukawekwa mimba ingine na ukaachwa.

NB:
Ila mwanamke ukimzalisha hana ujanja, ndio maana wanaume weng hawatak Single mother , hamkawii kuuza game kwa baba mtoto .
Kwangu alishapeleka mahali ndo hakupeleka uyo mwingine aloishi nae miaka minne ndo hakumtambulisha Kwa ndugu na hakutoa barua Wala mahali ndo uyo mdada kapata hasira kaondoka kwasababu anaona anakaa tu hatambulishwi
 
Back
Top Bottom