Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,209
- Thread starter
- #21
FREE DIDDY NOW!
Nyau de adriz marasmus
Mtt wako angegeuzwa ungeandamana atolewe ?zile ni ritual za watu ndio wanaturudisha chini sana lkn hatuwezi kukataa kukemea hiyo dhambi kwakuwa ni mweusi mwenzetu.....na kuna weusi wa States wanaona weusi wa Africa wanaoishi bara la tatu ni maviSi walifirwa Kwa ridhaa zao? Yani mijitu legal age inagawa rinda Kwa hiari halafu Diddy ndio wakulaumiwa?
Wazungu waache uonevu bana.
#UgaliForever
#FreeDiddyNow
adriz
Africa ninayoiombea ingekuwepo ingeleta mapinduzi walau ni ile ya kale ya Kushi Kizazi nilichokiona cha kina Nyerere Kwame kina Mandela ,Mugabe .......Wale wangeungana kuna kitu tungepata,,Tuondoeni tofauti zetu Na Kwa pamoja tuandamane P DIDDY aachiwe awe huru.
Huyu ni kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu. Ni wajibu wetu kumtetea kijana wetu.
Siyo kuandamana tu bali tumkumbuke Katika sala zetu tufunge na kuomba hasa wiki hii tunapoelekea sikukuu ya Ashura kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali alivyouwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu na ubinadamu dhidi ya dhulma na uonevu.
Free Diddy Now. Diddy is innocent.
Diddy is our son.
They don't like a Powerful black man.
#UgaliTheBestFoodForHumanity
#FreeDiddyNow
adriz[/USER
[/QUOTE]
Umetumia fasihi. Wenye akili tu ndoo watakaoelewa unachomaanisha. Hongera kwa kukwepa mkono wa polisi
10 mkuu ni parefu. Akitoka Lameck atakuwa amemaliza muhula wake wa Kwanza.Didy kesi imeshakuwa nyepesi Sana amefutiwa mashitaka 03 yamebaki mawili .
Ikiwa atafungwa haitozidi miaka 10 kwahiyo sio mbaya Sana.
Atatoka na 65 kitu amabacho sio kibaya kuliko kufunguwa life sentence10 mkuu ni parefu. Akitoka Lameck atakuwa amemaliza muhula wake wa Kwanza.