Recent content by vallei

  1. V

    Ndoa ngumu jamani

    Ishhhhh si akubali open uny...na mpaka mwanaume kapanik hvyo hyo mesej itakua Ilkua ya kiuni. Mwambie aache uhuni
  2. V

    Nimekaribishwa chumbani kwa demu

    Embuu waambie...mtu kaweka bajet ya mtu mmoja ww unakuja na rafik. Tena mwngne anabeba kundi kabisa la marafiki
  3. V

    Ukwel kuhusu biashara na bidhaa za forever living

    Inalipa ndugu Yangu...kulko ata wenye pharmacy. Ukibahatika kubali tu ndugu Yangu.
  4. V

    Soma kimyakimya halafu uondoke

    Hahahaaa smh...
  5. V

    Anaomba ushauri, mume wake hajamgusa mwaka mzima kisa amefunga

    Mhhh kwanza kumnyima mkeo au mmeo haki ni dhambi tayari. Sasa yy anafunga nn ucku anatenda dhambi. Ndo maana ayo mafanikio Mwaka mzima bado hajayapata
  6. V

    Jamani hivi hii ni heshima kweli leo nikimchekea kesho si atavunja ndoa yangu huyu

    Mwambie ukwel hutak mazoea nae...full stop. Usimwendekeze
  7. V

    Hii sawa jamani?

    Ww itakua haumpi hvyo vitu uyo mchumba wako ndo maana rafik yako kachukua jukumu. Na mchumba hapendi hyo tabia yako ndo maana anakushirikisha kukubeza udhaifu wako....
  8. V

    Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

    Amwambie ukwel Mke mtarajiwa...
  9. V

    Ngono Kabla ya ndoa

    Kama mnaendaa kuoana je??
  10. V

    Ngono Kabla ya ndoa

    Swali langu dogo tu...kufanya Ngono Kabla ya ndoa ni dhambi??
  11. V

    Naomba ushauri mpenzi atishia kuniacha

    Asante sana kakaangu. Kwahyo hata Kama imefka hatua ya ndoa bado nisiseme ukwel wote??
  12. V

    Naomba ushauri mpenzi atishia kuniacha

    Haniamin yan ni manyanyaso...Anahisi sipo salama
  13. V

    Naomba ushauri mpenzi atishia kuniacha

    Mimi ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yeye ni bikra lakini mimi sio. Sasa inaleta shida nilipomwambia nimesha sex mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha. Kaka na dada zangu naomben ushauri. Mimi nampenda kweli na yeye anasema...
Back
Top Bottom