Recent content by Valkyrie

  1. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa, urais 2015, majibu rahisi kwenye maswali magumu

    Kati ya wanasiasa wanaowania urais nchini Tanzania, Edward Lowassa anaonekana kuwa na umashuhuri wa hali ya juu. Huu ni ukweli bila kujali kama unamkubali ama lah. Wapo wanaoamin Lowassa si maarufu kama anavyoonekana, yaani he is overrated. Pia wapo wale wanaoamini kuwa kweli ana nguvu na...
  2. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

    Kama muda wa kunadi sera zake kama mgombea anahangaika na hoja za watu na kujaribu kupunguza umaarufu wa mwenzie tayari kwangu mimi hafai. Siku akiwa raidi ataacha kuangalia mahitaji yetu wananchi na kukimbilia kuwasema maraisi wa nchi jirani. Kwanza ubenge wenyewe alipewa tu...mi namwona hana...
  3. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu hii fursa ya ufugaji kuku (large scale)

    Dah hivi kuna mashamba kama haya hapa Bongo? Mpaka raha
  4. Valkyrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana sifa karibia zote ninazohitaji, ila tatizo elimu yake

    tindikalikali Ndugu unatafuta mke au business partner? anyway. Moja, kama elimu yake ni STD 7 kuna uwezekano mkubwa kuwa it is not her fault, mazingira yalilazimisha yeye kukosa nafasi ya kusoma. Hivyo you can't punish someone for that. Mbili, kama kila kitu kipo sawa kasoro elimu..na bado...
  5. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari awadanganya wanameru kwa ambulance mbovu

    Naamini zawadi/msaada/utendaji wowote wa kiongozi unapotolewa mwaka wa uchaguzi ni wa kutilia shaka. Naungana na Mh Samuel Sitta aliesema huu ndio msimu wa 'kujipitisha kwa wananchi'. TUJIPIME
  6. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: Hotuba ya Nyerere 1995

    Shukrani sana kwa mtoa mada. Kama unazo na nyingine hata za miaka ya nyuma sana sio vibaya ukatuwekea hapa pia.
  7. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya kauli ya Kikwete “Chama Kwanza, Mtu Baadae”

    Katika moja ya vikao vya juu vya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Mh Jakaya Kikwete alitoa kauli iliyozusha majadiliano mengi kwa watu mbalimbali juu ya hatma ya mgombea wa urais kupitia chama hicho. Pamoja na hotuba iliyojaa maneno mazito, nieleze mtazamo...
  8. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba kwaajili ya kuoa

    Kwenye red....kutoka vyuo vinavyotambulika.
  9. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania 'Mambo ya Jioni Hayo'

    Lakini nadhani ni bora kama wangekuwa na portfolio websites, au kama kuna collective libraries, maana ni documentation nzuri. Also biashara ni matangazo, watu wakiona ulizopiga ni rahisi hata kukupa kazi.
  10. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania 'Mambo ya Jioni Hayo'

    Hivi kuna wapiga picha wa hapa nyumbani wanaopiga picha kama hizi? kama wapo ningependa kuziona kwa kweli
  11. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania 'Mambo ya Jioni Hayo'

    Magnificent shot
  12. Valkyrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu dalili za mwanamke anapompenda mwanaume

    Asante kwa taarifa.
  13. Valkyrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

    Imakaa kama story vile, ila kama kweli. Mrudishie pesa zake Don't touch her na pia don't say a word...maana hata wewe sio innocent...kifupi funika kombe........
  14. Valkyrie

    JamiiForums Tanzania Asilimia 92 ya wanawake wa Misri wamekeketwa "FGM"

    Japo kwa upande mmoja ni vyema kuheshimu mila na taratibu za watu, but for thins I believe it's bad thing for those women dah!
  15. Valkyrie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Action movie

    Jaribu hapa na hapa na hapa
Back
Top Bottom