Recent content by valerianmdaki

  1. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Kijana wa namna hii tukimfukuza ni kosa?

    Kwa kuwa wewe walikuvumilia huko Tanga. Ukaamua kutoka moyoni usimfukuze basi kaa naye hata kama wenzako wakitaka muondoke ondoka naye mkaishi. Huo ndiyo upendo wa kweli
  2. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hapo wapo 9 tu
  3. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Msichana akikwambia ana mtu, mjali miezi 2 kisha kula kona ghafla...!

    Hiyo njia panda inaweza isipate ufumbuzi wa haraka.
  4. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie simba nani amewaloga?

    Wapi? Hahahaa. Wewe umesema pesa za Okwi unazitaka za nini? Pesa za Okwi anazo Okwi.
  5. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie simba nani amewaloga?

    Eti furaha ya Yanga ni kuona Niyonzima hachezi Tanzania. Muaeche achague atacheza wapi? Akirudi kwenu Simba haina shida, akija Simba Yanga tumewapa ubovu. Shida iko wapi! Ni haki yenu kuwa na wivu maana ninyi ni wa hivyo hivyo. Chukua Ajib, Okwi ndani ya nyumba. Bocco haramu anasubiri maangamizi
  6. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie simba nani amewaloga?

    Tatizo lipo. Tatizo mnaweweseka sana. Niyonzima hajatangazwa Simba wala Yanga mnaanza kejeli kwa viongozi. Simba haina tatizo la viungo hata kama wataondoka wengine wataingia. Falsafa ya Simba ni kumiliki mpira. Kiungo ndiyo nguzo ya timu. Hata Kazimoto anawatoa jasho
  7. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie simba nani amewaloga?

    Huyo dada unayemuamini naye mawenge tu. Taarifa ya mawazo ya kufikirika huwafurahisha wenye mitazamo inayofanana. Unadhani Niyonzima kasaini Yanga!
  8. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Ipi sentensi sahihi?

    Complement ambayo imejengwa kwa Past form au Past participle
  9. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Ipi sentensi sahihi?

    Pia informed kama walivyosema wengine imetumika kama adjective. S+V+C
  10. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Ipi sentensi sahihi?

    Sentensi ya kwanza ni sahihi bila mashaka yoyote. Sentensi hii "I was not informed" ni passive voice. Muundo wake ni : Direct object- I, + Auxiliary verb-was+ Past Participle- informed. Not- negativity. Kwa sentensi ya pili , ni makosa makubwa kutumia kitenzi kisaidizi(primary auxiliary verb) ni...
  11. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya neno Albino na Zeruzeru?

    Huwezi kuukana ukweli hata kama unauma. Maana ya albino ni zeruzeru. Ukweli utabaki palepale
  12. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Kenya na Kiswahili

    Wako sawa, mfano aisifuye mvua ujue imemnyea
  13. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apiga marufuku matumizi ya Shisha nchini

    Wabongo hata kwa suala la afya zetu eti mpaka tusimamiwe!
  14. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanafunzi waliodahiliwa UDOM walistahili maana walikuwa na sifa zinazotakiwa

    Wapelekwe kidato cha tano. Chuo kikuu hawana sifa. Sera ya elimu inasema hivyo
  15. valerianmdaki

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanafunzi waliodahiliwa UDOM walistahili maana walikuwa na sifa zinazotakiwa

    Mhitimu wa kidato cha nne hawezi kudahiliwa chuo kikuu. Sera ya elimu haisemi hivyo!
Back
Top Bottom