Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

NYAMAGANA NJEMA

NYAMAGANA NJEMA

Member
Joined
Jan 20, 2019
Messages
43
Points
125
NYAMAGANA NJEMA

NYAMAGANA NJEMA

Member
Joined Jan 20, 2019
43 125
View attachment 1143641
Huyu nafasi yake ndo ilichukuliwa na MSUDAN, Shiboub na amesaimesaini deal ya miaka 3 pale Mazembe baada ya kumwacha
 
virgo man

virgo man

Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
41
Points
125
virgo man

virgo man

Member
Joined Feb 7, 2017
41 125
But jean vital ndo mbadala sahihi wa kotei..ni holding midfielder but msudani ni attacking....nimeangalia video zao for me jean yuko vizuri...And issue nyingine was zana..kulikua na kutokuelewana viongozi wengi hawataki asajiliwe but sijui anaempa nguvu zana ni nani but hatosajiliwa tena....
Huyu nafasi yake ndo ilichukuliwa na MSUDAN, Shiboub na amesaimesaini deal ya miaka 3 pale Mazembe baada ya kumwacha
 
3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
4,378
Points
2,000
3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2017
4,378 2,000
Gadiel Michael Mbaga kasaini miaka 2 Simba.
GM is red... karibu kijana
 
kigongoi

kigongoi

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Messages
364
Points
225
kigongoi

kigongoi

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2015
364 225
jamani nilikuwa nawakumbusha tena ingawa wale jamaa hawana kumbukumbu
ni kwamba simba imeshukia JNIA na wala sio pale ubungo terminal
wa ubungo terminal wanajulikana
 
Amani Jr

Amani Jr

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Messages
278
Points
250
Amani Jr

Amani Jr

JF-Expert Member
Joined May 6, 2015
278 250
Jamani picha za uwekwaji wa jiwe la msingi ziko wapi humuu, mbona ni jambo kubwa sana lazima liwepo hapa kama kumbukumbu
 
3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
4,378
Points
2,000
3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2017
4,378 2,000
Tukutane Taifa Leo 10 Jioni...
Simba day
IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL
 
K

kapondo ze great

New Member
Joined
Jul 8, 2019
Messages
2
Points
20
K

kapondo ze great

New Member
Joined Jul 8, 2019
2 20
# simba sports club, n club pekee ilio badirisha majina zaidi ya mara tatu. Bofya link kufahamu zaidi
 
3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
4,378
Points
2,000
3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2017
4,378 2,000
KIKOSI CHA SIMBA VS UD SONGO
1. KAKOLANYA
2. KAPOMBE
3. GADIEL
4. NYONI
5.WAWA
6. MKUDE
7. CHAMA
8. SHIBOUB
9. KAGERE
10. BOCCO
11. KAHATA
SIMBA NGUVU MOJA
 

Forum statistics

Threads 1,334,803
Members 512,099
Posts 32,487,371
Top