Msichana akikwambia ana mtu, mjali miezi 2 kisha kula kona ghafla...!

Hii ni njia bora kabisa ya kumpata mwanamke aliyekulingia na kudai anamsela mwingine tayari, proved nimewanasa mademu wawili kwa mpigo kwa njia hii.

Kwanza hapa nilipo ninayofuraha ya kumpata JULIE mtoto wa kichagga alinizingua na kunitendea ukatili sana, baada ya kuwa ananiambia habari za jamaa wake kila ninapofanya jitihada kumtongoza na kumteka akili..! Nilimwaga chozi mara nyingi ila JULIE hakunisikiliza huku akitilia mkazo kuwa angenikubali kama siyo huyo jamaa, eti huyo msela wake wametoka mbali, sikukata tamaa nilimjali kwa muda km miezi 2 simu kila lisaa nikimuulizia kama amekula kisha nikajiondoa bila yeye kutegemea.

Siku hazigandi kidume nikaamua kufake kuwa sina time naye tena, nikamtoa nishai JULIE kamind kinoma alafu nikamrudia kuomba msamaha akanisamehe huku akionya kamwe nisahau yeye kuwa mpenzi wangu, labda rafiki tuuh.

Kidume nikaua winga tena, huku nikimwacha bila yeye kujua, ila huwa naweza nikapita kazini kwake na kumsalimu kuwa ninashida na jirani yake kwenye ofisi ya jirani.

Siku zinakatika mtoto huko jamaa akimzingua kidogo demu anakasirika na kunikumbuka, tangu juzi nashangaa demu kanipigia simu yale niliyokuwa namcare kaanza kunilipa mara anigombeze eti sipendi kula, sasa usiku huu ROHO YANGU INAFURAHA SANA, jina limebadirika na kuwa MPENZI/MYDIA ONE, SWEET, sasa najiuliza sijamtongoza tena tangu animbie hawezi kuwa na mimi, na sasa naitwa hayo maneno matamu yote, ananidekea ajabu mara JOMONI BABY, hapa nashangaa ata sielewi huyu mbuzi kufia jikoni kwangu huku nina hangover atapona kweli???

Mtego umenasa wawili, MWINGINE demu mmoja alinizingua sana, kisa sina gari akasema yuko na msela wake wanapendana mno, nikaona isiwe taabu uzuri nina driving leseni nikachukua gari la my nephew RAV 4 matata akaanza kuonesha nia nikampa hadi lifti one day, ile ndiyo anaanza kuonja wema wangu nikapotea ghafla,tangu juzi simu zake ni kero baby umepotea jomoni, nikamwambia mmhh unamanisha kasema ndiyo nakupenda sana uwezi amini...! Sasa hapa kidume niko njia panda niende kwa DIANA au JULIE...! So confused aisei..


Hapo uliposema mtoto wa kichagga tu, umeshamwaga mboga. Mademu wa kichagga ni wasanii (bongo fleva), wale hawana mapenzi ya kweli.....wana angalia upepo unaenda wapi. Leo anaweza kukuambia yuko na bishoo fulani hivyo hana muda nawe, akinyimwa pesa za matumizi atakutafuta na kukukumbatia mbele za watu kujifanya anakupenda. Hao ndiyo mademu wa kichagga, tupilia kule.
 
Humu jf watu wanaangalia majina, hii ingeandikwa na mtu mwingine ungesikia "La saba wapo likizo"

Unajisifu kumwaga chozi au siyo?
Lazima uwe na kifua kuweka siri za penzini nje, osama na mzuzu wake alikuwa anapiga saluti kwa papuchi, Samson kwa Delila hoi, Adam binadam original acha sisi fake kwa EVa chalii iweje mimi kutoa chozi kwa Julie nionekane la saba..? Wewe umjui Julie namjua mie tuliza kipere mkuu.
 
Mimi kuna mmoja, sijui kama ni mdada au mama huwa linajichetua na kujichekesha chekesha, ila nimelistukia kwamba sasa hivi linanjaatu ndio inayomsumbua
 
Ungelitupia japo kapicha tukupasishe wapi uende itapendeza sana...
Huyu Diana
21370912_917355695086499_1319449556657514869_n.jpg


Huyu Julie
21272252_917355721753163_7449391866226760572_n.jpg
 
Hapo uliposema mtoto wa kichagga tu, umeshamwaga mboga. Mademu wa kichagga ni wasanii (bongo fleva), wale hawana mapenzi ya kweli.....wana angalia upepo unaenda wapi. Leo anaweza kukuambia yuko na bishoo fulani hivyo hana muda nawe, akinyimwa pesa za matumizi atakutafuta na kukukumbatia mbele za watu kujifanya anakupenda. Hao ndiyo mademu wa kichagga, tupilia kule.
I know that but Julie is different mkuu, she is very strategic, hapa penyewe ananipa michogo ya pesa na kunishawisho mno namna tutakavyotusua yuko na businesses zake, kiukweli ngoja nimlilie ata sijuitii..! Very humble ingawa ndiyo hiyo misimamo yake yule chalii atakuwa kumbetray tuuh..!

Maana nilikuwa nalia ananibembembeleza na kuniambia kama asingekuwa na jamaa basi ningempata ata bila kumshawishi..! She is very determinant anapenda sana mtu strategic ndiyo home yake kwangu..
 
Hiyo njia panda inaweza isipate ufumbuzi wa haraka.
Kwanini jamaa yangu, kusema kweli nikutuliza kichwa hawa ni mademu pekee nimewatarget nioe mmoja miongoni mwa wengi nisio wakumbuka.. jokes..
 
Mimi kuna mmoja, sijui kama ni mdada au mama huwa linajichetua na kujichekesha chekesha, ila nimelistukia kwamba sasa hivi linanjaatu ndio inayomsumbua
Huhuhuhuhh..! Pole mkuu huo mtego utanasa ukicheza nao, siku nyegemshindo zimekukaba hutaruka huo mtego.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom