Recent content by vaita

  1. V

    Gharama kubwa za Bima: NHIF yatoa ufafanuzi. Ni baada ya wadau kulalamika...

    Kwakweli bima ya Afya ni kitu Cha msingi sana, ila kwa maisha ya kiTz naona hata wakifanya 250k per person ni kiasi kikubwa, haswa kwa wasio na ajira rasmi na vipato vya chini. walau 100k watu wangeweza kumudu na uwezekano Wa kujoin kuwa rahisi kuwekwa watu wangejiunga na ingeweza kujiendesha...
  2. V

    Gharama kubwa za Bima: NHIF yatoa ufafanuzi. Ni baada ya wadau kulalamika...

    Hivyo utanufaika na Huduma bila limit Kama wanufaika wakubwa, watumishi Wa umma
  3. V

    Gharama kubwa za Bima: NHIF yatoa ufafanuzi. Ni baada ya wadau kulalamika...

    Nijaribu kujibu kwa uelewa wangu... Ukijiunga PSPF unakuwa Umepata access ya bima kupitia kikundi (hapa PSPF itakuwa ndio kikundi) hivyo utalipia gharama taslim ya Tshs 76,800/= kwa mwaka kwa ajili yako tuu. Vigezo na Masharti ya kujiunga PSPF na hadi kuwa na sifa ya kupata fao hilo vitazingatiwa
  4. V

    Wazo la kufanya biashara ya asali toka Tabora

    Nimewahi kusikia kuwa kwenye mahotel makubwa ni wateja wazuri wa asali. Kuhusu kusafirisha kutoka mboka hadi Bongo kuna mambo changamoto nyingi ikiwemo kukamatwa ikusafirisha zao hilo bila vibali. n. k Hivyo endelea kutafiti masoko na uanze, changamoto utapambana nazo uwanjani. (woga wako ndio...
  5. V

    Niulize chochote kuhusu Mfamasia na madawa

    nimekuwa na matamanio ya kufungua pharmacy kwa wastani mtaji ni kiasi gani? ni kweli kwamba lazima mfamasia mwenye degree awepo kwenye pharmacy? malipo ya mfamasia ni fixed au ni maelewano? ni kiasi gani kama ni fixed? nikitaka kuwa na pharmacy inayotoa huduma ya bima utaratibu wake...
  6. V

    Clinical assistants, health attendants

    UPDATE: Tafadhali kwa yeyote ambaye aliomba nafasi hii: 1. Hii kazi ni ya Zahanati, inategemewa kuanza mwezi wa sita 2. Kama unakaa maeneo ya karibu kama Mbagala, kigamboni au kongowe na ulituma taarifa zako kwenye ile namba ya simu tafadhali tuwasiliane mara moja, kumbukumbu zimepotea, simu...
  7. V

    Clinical assistants, health attendants

    Kama umewasiliana kwa hiyo namba usihofu utaitwa kwa usaili.
  8. V

    Clinical assistants, health attendants

    Sidhani kama ni vyema kujadili viwango vya mshahara kwenye forum, mshahara tutajadili na mtu mmoja mmoja
  9. V

    Clinical assistants, health attendants

    Eneo la kazi wilaya ya Mkuranga kata ya Mwandege kijiji cha Lugwadu sifa ni zilivyotajwa hapo juu Sifa za ziada, ujuzi wa computer, mtu aliye tayari kufanya kazi katika mazingira Magumu, mwenye juhudi, na mwaminifu, mwenye utayari wa kuhamia karibu na kituo cha kazi ikibidi. Kwa mawasiliano...
  10. V

    Najuta kwakweli najuta, nimegundua ana ugonjwa wa Ini

    Dah kweli majuto ni mjukuu na mchuma janga hula na nduguze.... Haya sasa utomaso umekuponza
  11. V

    Nauza business plan ya alizeti

    Mkuu Unahitaji mtu aliyeko maeneo gani? Awe na mtaji kiasi gani?
  12. V

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Ndugu C.Misonge huyu bwana nilimpigia simu, kwenye namba yake ambayo imo katika post yake ya kwanza kabisa.
  13. V

    Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    Download attachment zote kisha fungua moja moja, angalia mwaka wa kuhitimu, pale unapoona mwaka wako, tafuta sehemu ya search kisha andika jina lako na usearch utaona jina lako kama ni mdaiwa ambaye hujaanza kulipa
  14. V

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Niliwasiliana nae juzi kwa ajili ya kutembelea na akaniambia hizo PDF unalipia 15k halafu siku unaenda shamba unalipia 15k ingine. Hiyo ndio mchanganuo wa ile gharama ya kutembelea shamba darasa.
  15. V

    Plot for sale mill 2

    Cha ukubwa gani ndugu?
Back
Top Bottom