Clinical assistants, health attendants

vaita

Member
Feb 19, 2015
32
17
Eneo la kazi wilaya ya Mkuranga kata ya Mwandege kijiji cha Lugwadu sifa ni zilivyotajwa hapo juu

Sifa za ziada, ujuzi wa computer, mtu aliye tayari kufanya kazi katika mazingira Magumu, mwenye juhudi, na mwaminifu, mwenye utayari wa kuhamia karibu na kituo cha kazi ikibidi.

Kwa mawasiliano 0712258524
 
UPDATE:
Tafadhali kwa yeyote ambaye aliomba nafasi hii:
1. Hii kazi ni ya Zahanati, inategemewa kuanza mwezi wa sita
2. Kama unakaa maeneo ya karibu kama Mbagala, kigamboni au kongowe na ulituma taarifa zako kwenye ile namba ya simu tafadhali tuwasiliane mara moja, kumbukumbu zimepotea, simu iliibwa.
3. Kama ndio unaona tangazo na unaishi maeneo hayo unakaribishwa kuomba kupitia namba 0712258524 au 0713836782
 
you are not serious aisee... unataka mtu anayejua pia computer halaf bado unasema kumbukumbu umepoteza.. kumbe na wewe hujui computer..!!!!
 
Back
Top Bottom