hizi huwa mfanyakazi na kampuni wanakaa mezani kumaliza uhusiano wa ajira kwa maridhiano mfano mkataba unaweza kuwa umebakia miezi 9 ila kuna namna kampuni inakuwa haikuhitaji ila sasa kusema moja kwa moja wanakuwa hawana sababu za wazi hivyo wanakuita mumalizane sasa nini kinajadiliwa hapo...
kuweni makini na hiyo kampuni wababaishaji sana inaitwa gobet
walinipa bonus ya 85k baada ya kuweka 85k basi nikacheza nikawapasua 900k wakasema ohoo huwezi toa mpaka iyo bonus tuliyokupa iwe mara 40 yani 85k plus 85k inakuwa 170k ili utoe zidisha mara 20 maana yake ni 3.4m nkasema mbona hamna...
Nashukuru huu mjadala nimeuwahi ebu twende haraka haraka hapa tutatumia sheria mbili moja ELA (Employment and labour relation act 2004) kiswahili chake ni sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 na ile tunaita code of good practice 2007 kingereza na kiswahili tunaita kanuni za utendaji...
A FOR .................................APPLE
B FOR................................... BAPPLE
C FOR ....................................CAPPLE
D FOR .........................................DAPPLE
E FOR ............................................EPPLE
F...
Mahusiano mengi yanadumu kwakuwa wanaume tunavumilia mateso na manyanyaso kuombwa pesa ya brazilian hair na uwezo huo huna kulipishwa kodi ya nyumba ikiwa ndugu zako kijijini hata sukari hawana kusomesha mwanamke wakat una ndugu zako wengi tu hata veta hawajaenda
Kiufupi wanawake wanatupa...
Ndio maana mjomba wa rafiki yangu kasoma Havard bwana bwana yani kama kasoma zoom college haya mambo hatari ndugu wakigusa kwawe unaulizwa lini unarudi na nauli ya kurudi uwe nayo huyo mke wake ukimbishia tu utaumwa nusu uwe chizi
Naomba niwakilishe mchango wa mawazo husika kama fuatavyo, kwa sasa wahitimu wengi inatakiwa tujikite sana kwenye TRAINING mbalimbali kutoka consultancy companies za field tofauti tofauti hii itawezesha uwe na sifa za ziada za kutofautisha na wahitimu wengi ntachambua kwa upande wa business...
Naomba niwakilishe mchango wa mawazo husika kama fuatavyo, kwa sasa wahitimu wengi inatakiwa tujikite sana kwenye TRAINING mbalimbali kutoka consultancy companies za field tofauti tofauti hii itawezesha uwe na sifa za ziada za kutofautisha na wahitimu wengi ntachambua kwa upande wa business...
wanawake wajanja sana yn kila anachofanya huwa kina maana yake
unaweza mkuta na mwanaume akasema cousin hapo anakujibu ya moyoni kabisa ila wewe unajipa imani ni mimba tu mim nilikuwa n dem jeur anasingizia ana majin jamaa angu akanitonya huyo dem ndo alivyo piga chini
huyo dem pigaaaaa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.