Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,805
Nenda kwao fasta ukajitambulishe...
Hapo kwenye red "kama anakazi mtafutie" sasa vipi amtafutie na anayo kazi tayari?! au ulitaka kuandika "Kama hana kazi mtafutie?" huu uandishi wenu wa kukwepa kuitumia herufi "H" unapoteza kabisa maana ya neno lililokusudiwa.Mkuu demu kutaka kutoa mimba lazima kuna sababu inayomfanya atowe hiyo mimba ili asitowe fanya hivi mjali sana mpe matumani mengi kama anakazi mtafutie kazi au mpe ata mtaji mpe muda wa kumjali na uhakika atatoa hiyo mimba mimi nilikuwa na demu wangu alivyoniambia nataka kutoa mimba ilibidi nimjali sana kumpa moyo paka akajifungua baada ya kujifungua mtoto siyo wangu hii dunia hii siyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu typing errorHapo kwenye red "kama anakazi mtafutie" sasa vipi amtafutie na anayo kazi tayari?! au ulitaka kuandika "Kama hana kazi mtafutie?" huu uandishi wenu wa kukwepa kuitumia herufi "H" unapoteza kabisa maana ya neno lililokusudiwa.
Wadada wamekuwa waoga kutokana na matendo yanayoendelea kwenye jamii
Wanaume wengi wana mahaba kabla mtu hajawa Mama, akishakuwa Mama unageuka na kumwacha single
Unaona mawe wanayotupiwa single mother kila kona?!
Hapo ukute hata kwenu hawamjui
labda ngoja nimwache afanye anachotaka yeye ilhali bado sio mke wangu.Labda Mimba siyo ya kwako. Anaogopa kukubebesha mzigo halafu aje akuzalie kaarabu au kahindi.
Ila bado siyo excuse ya kutenda dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una future nae ila yeye hana future na wewe,amka toka kwenye huo usingizi wa pono mkuu.
Habari zenu wanajamvi.
Nimejaribu kwa namna zote kumkataza lakini anang'ang'ania isitoshe nina future nae.
Naombeni ushauri nimfanyeje maana niko confused.
Uzi tayari.
Sent from my iPhone using JamiiForums
H for HappleA FOR .................................APPLE
B FOR................................... BAPPLE
C FOR ....................................CAPPLE
D FOR .........................................DAPPLE
E FOR ............................................EPPLE
F FOR............................................FAPPLE
G FOR ............................................GAPPLE
Haaaaa kama unakunywa balimi agiza ntalipa japo icho kinge ukiwa una njaa na hii january hata sio kizuriShe is not into you.
Wanawake tunapokuwa tunampenda mtu, we can't wait to have his child so we can make a family.
Let her go. Na ujifundishe next time upachike mimba kwenye uterus ya mke wako na sio demu.
Okay?