Recent content by Uvahi

  1. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Apumzike kwa amani
  2. U

    JamiiForums Tanzania Lembeli apinga matokeo Mahakamani

    Siasa mchezo mchafu
  3. U

    JamiiForums Tanzania Hawa Ghasia-kitu usichokijua ni sawa na usiku wa giza

    Kashaanza kugawa baiskeli
  4. U

    JamiiForums Tanzania Prizenta huyu, Kijah Yunus wa Clouds TV, kipindi cha 360, nashindwa kumuelewa

    Aligombeaga viti maalumu Mkoa wa Lindi akapigwa chini
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama tendo limekukinai na mwenzi wako fanya hivi

    Chap chap tamujeee!!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa mwanasiasa, jaribu kuwa mwangalifu kwenye mahusiano

    Awe km mnyika, hatujui anatoka na nani?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni kweli umepewa Rushwa na TANECU?

    Hili la Tanecu mimi nitalibeba mpaka kwa Rais wa Nchi najua yeye hajui haya madudu na hawezi kufumbia macho.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni kweli umepewa Rushwa na TANECU?

    Kinachotuma wana Tandahimba ni ufisadi wanaofanya watendaji wa Tanecu au nyie hamuuoni? Mimi nina uhakika Rais hajui madudu ya Tanecu,, watendaji wanasajili kampuni wanajiombea kazi na wanajipa wenyewe wakati kampuni za wazawa zipo na zimeomba na wana sifa zakufanya kazi alafu nyinyi mnadai...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni kweli umepewa Rushwa na TANECU?

    Waziri mkuu anajua maana walishamuendea dodoma kujiliza na uchaguzi umesitishwa kuna nini??
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni kweli umepewa Rushwa na TANECU?

    Na wametoa rushwa kwa wajumbe ili kampuni ya Mkata ambayo kiukweli wana maslahi nayo ishinde ghala la Tandahimba yani Tanecu inanuka rushwa vibaya mno.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni kweli umepewa Rushwa na TANECU?

    Umenena vema kabisa na hii leo ndio wanakalia Tenda ya maghala huko Newala,, na habari za uhakika kabisa watendaji wa Tanecu wamesajili kampuni yao kwa mgongo wa mtu anaeitwa Mkata tena huyo Mkata mwenyewe anaumwa yuko hosptal kwa mda mrefu,,
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ni vibaya kufall in love?

    Nitamwambia ukweli km ananitesa usingizi sipati kwa ajili yake
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ni vibaya kufall in love?

    Mwenzenu nimekufa kwa mh. kijana ipo siku nitampigia no yake ninayo
Back
Top Bottom