Kumbe ile ya nyerere nayo ilikuwa ushirikina ?Teh Teh huyu alidhani ile fimbo yake ya kishirikina itampa ubunge! Kamwe hatoweza kushinda..
Lembeni alibebwa kwenye kiti na manyumbu,haamini kama kashindwa
Lembeni alibebwa kwenye kiti na manyumbu,haamini kama kashindwa
Lembeli ninadhani anataka kutafuta huruma za wananchi, maana alikuwa kimya sana, alafu ninavyowafahamu wasukuma wa kahama wao wengi ccm sio mtu, wengi hawajui kusoma na kuandika na hili utalishuhudia ukitoka klm kadhaa tu kutoka kahama. Pia madiwani woote ccm isipokuwa mmoja picha inaonyesha uhalisia. Japo yawezekana fitna pia ilikuwepo.
Kwa kahama lembeli ni assert kishimba ni liability.
inawezekana maeneo mengi sana kanda ya ziwa ccm walichakachua kwenye ubunge...
Kishimba alitumia Goli la mkono Ushindi wake si wa haki kabsa.
kishimba alitumia goli la mkono ushindi wake si wa haki kabsa.
Hata madiwani wengi wa ccm wametumia goli la mkono , umefuatilia matokeo ya jimbo la ukerewe ?lipi mkuu ukieleza vizuri utarahisha mambo. Binafsi sikupenda matokeo ya lembeli kushindwa lkn hajashidwa mbunge tu, na madiwani wote isipokuwa diwani mmoja na yeye kutokana na eneo alipo watu wengi walitoka mgodini.
Huo msamiati haukumaanisha hivyo mkuu , ni vema tukiweka kumbukumbu sawa .Mzee naona nyeti za kuku zimeachwa wazi baada ya upepo mkali wa JPM kupuliza..
Siasa mchezo mchafu
Jecha katia aibu ambayo haijawahi kutokea tangu Mungu aiumbe zanzibar .Nasikia sauti ya Lubuva na Jecha wakitamka matokeo ya urais,Hashimu Rungwe Spunda kura 30 sawa na asilimia sifuri nukta sifuri 1,Mimi jecha salim jecha natangaza kufuta matokeo ya ushea,uwakilishi na urais wa Zanzibar.
Hivi ikitokea lembeli akashinda kesi na lisu kama naye kapingwa mahakamani akashindwa nani watakuwa wamepata hasara.
Naona mahakama mwaka huu ikibarance kesi kama lefa wa Mpiira wa soka.