Recent content by uujn

  1. uujn

    JamiiForums Tanzania Kuna katabia kakutafutana wakati wa kufanikisha michango ya harusi kanakasirisha sana

    Nilishaacha huo upuuzi...! Yangu nafikiri itakuwa wiki moja kabla ya Ramadhan sijaomba mchango wa mtu yeyote...[emoji1]
  2. uujn

    JamiiForums Tanzania Leo wazungu wamenishambulia kwa kukomenti hivi...

    [emoji2] dah!
  3. uujn

    JamiiForums Tanzania Angekuwa wewe ungefanyaje?

    Ndugu zake wakae kikao wajue namna ya kumsaidia huyo mgonjwa, rafiki yako ni mbinafsi, kwanza kabisa umemkaribisha kwenye mpango wa utafutaji sahivi anakushawishi mtumie mtaji kwa ajili ya baba ake kwani hana ndugu wengine?! Mpe mchango kidogo asiposhukuru mkimbie mana kuna watu wengine wapo...
  4. uujn

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Mzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako....
  5. uujn

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hello Paula Paul Bado shida ni ile ile...! Kama kuna mtu anaweza kutusaidia itakuwa vizuri
  6. uujn

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Habari Paula Paul...hiki kitabu nilikichukua lakini nilipokifungua kilikuwa hakina chochote ndani, naomba ututumie tena nasi tupate kukisoma Natanguliza shukrani.
  7. uujn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa, hivi mliwezaje kukubaliana kutokushikiana simu kuepusha magomvi yasio ya lazima?

    Hizi mbinu ni wewe na Majaaliwa tu...[emoji38]
  8. uujn

    JamiiForums Tanzania Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

    [emoji2356] Aisee...
  9. uujn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Buriani Pendo, Buriani mpenzi yangu

    Pole sana mkuu...! Apumzike kwa amani Bi Pendo.
  10. uujn

    JamiiForums Tanzania Ni ushamba sana kutoka na kitambulisho cha kazini hadi mtaani ukiwa umekivaa

    Kijana na binti yangu huwa wananing'iniza " getipasi" hadi nyumbani, itabidi niwaonye hizi ni dalili mbaya kumbe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  11. uujn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kunikula kanichunia

    First time kwa Frank...[emoji23]
  12. uujn

    JamiiForums Tanzania Platnum Credit wanidhulumu

    Platinum, Bayport, Muhele, Credit nini sijui na wengineo wote ni wauwajiii...!
  13. uujn

    JamiiForums Tanzania Kuna watumishi wanajituma sana!

    Kichefuchefu kipo Manispaa ya Kinondoni aisee, unaenda unahitaji kushughulikiwa jambo lako kupata jibu mtu hadi amalizie kutuma emoj kwanza...[emoji706]
  14. uujn

    JamiiForums Tanzania Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

    Nchi gani tena jamani?
  15. uujn

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Back
Top Bottom