Ni ushamba sana kutoka na kitambulisho cha kazini hadi mtaani ukiwa umekivaa

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,855
4,552
Nisiwachoshe, msinichoshe.

Habari wadau leo tuanze na hii tabia ya Baadhi ya wafanyazi au taasisi mbali mbali. Kutembea na identification Card (id) zinazowatambulisha kama wafanyakazI sehemU flani.

Hii ni tabia ambayo tayari mmeanza kuwaambukiza na wanafunzi wa vyuoni. Nani asiye fanya kazi hapa mjini?

Unakuta mtu na ID yake mpaka mtaani. Bora wale wenzangu na mimi tunaning'iniza kwenye gari pale juu. Acheni mara moja, ni ushamba. Kuna ulazima gani? Mtu ajue upo sehemu fulani kikazi?

Tena ni msomi kabisa wasomi" aisee hopeless uncivilised graduates.

Acheni ushamba wa kijijini.
 
Mie niwe nafanya kazi shirika wanalipwa pesa nzuri yani hadi Sunday mbona navaa vizuri.

Lkn niwe msimamizi wa sensa sijui kada wa ccm, mara mwalimu wa milembe, sijui niwe kiongozi wa watawa weeh thubutu yani nikitoka ofisini navua kila kitu hadi nguo nabadili maan raia ni waongo hadi harufu wananusa.
 
Back
Top Bottom