kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,803
- 2,631
Mkuu inamaana shida haijawai kukupata eee.Hizi kampuni ni za kuogopa sana zina magumashi mengi ila watu wanashindwa kuzikwepa kwa kuwa wanatoa mkopo kwa muda mfupi sana bila milolongo mingi.
Tatizo linakuja kwenye mifumo ya ulipaji mikopo riba kubwa sana na ukitaka umalize deni haraka ili upunguze hawataki.
Hizi kampuni kwa sasa zinaitwa NYONYA DAMU....
Ni vyema usikocomment chochote
Wee toa ushauri afanye nini ili apate balance alipe malizananye ,lin sio kumlaumu
