Leo timu inacheza kama vile hatuitaki robo..Mabeki plus Pakome wamejitahidi sana hichi kipindi cha kwanza.Kipindi cha pili inabidi tukaze zaidi kama tunataka kupata matokeo.
Duh!City sasa hv OT ni kama uwanja wao wa nyumbani vile wanajipigia tu..Henderson ni kipa mzuri lkn naona carrier yake inaenda kufia OT(so sad)..watu ambao huwa wanasema Maguire ni mzigo kwa lendolof huwa natamani sana nikione hicho wanachokiona kwa lendolof..Leo tangu mpira unaanza ulikuwa...
Nilijiandaa kupokea matokeo yoyote ya ushindi dhidi ya Aston Villa(based on their current form) lkn nimesikitika kiasi kutokuondoka na clean sheet..Eric Bailly man of the match kama wakuu walivyosema hapo juu jamaa nadhani huyu ndiye anapaswa kuwa partner wa Maguire(if he stays fit) ameonyesha...
Point moja away with Leicester sio matokeo mabaya sana lakini kinachonisikitisha ni tumeshindwa kulinda goli la muhimu zikiwa zimesalia dk chache sana mpira kumalizika...Huenda nisiwe sahihi lkn nadhani Wan bissaka angekuwepo leo matokeo yasingekuwa hv..
Special credits to Solskjaer taratibu naona anaanza kurejesha imani iliyopotea..Mc tomminay man of the match leo karibu kila alichokuwa anakifanya kilikuwa kinakwenda sawa..James nilishapotezaga imani naye long time lkn leo ameprove kwamba he can be trusted happy for him..Rashford leo alikuwa...
Shaw man of the match..leo nilikuwa na uhakika hatufungwi hata tungecheza na Bayern Munich au Liverpool (considering previously results) Ole is so predictable..
I'm happy for the win lakini naona bado tunasafari ndefu kama timu ushindi wa goli tatu kwa mtu ambaye hajaangalia mpira anaweza kuhisi tulikuwa bora sana lkn sivyo..Bruno na Rashford waliongeza uhai kwenye timu baada ya kuingia lkn my special credits goes to Aaron Wan Bissaka huyu mwamba huwa...
Cavan kwa mara ya kwanza leo anamfanya Chief Mkwawa(No disrespect) akose cha kumtetea Martial utetezi wa jamaa huwa unaingia sana moyoni lkn akili yangu huwa inakataa kabisa...Thanks Cavani.
Point tatu muhimu sana kwa timu kama mdau alivyosema hapo juu..goli mbili muhimu sana kwa Cavan kumfanya tuwe na cha kumlaumu kocha asipomfanya first choice no9 for the team in the next games Donny Van De Beek,Bruno na Fred ni wachezaji wa muhimu sana wa hii timu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.