Hakuna tafiti zilizowahi kufanyika na kuonesha kuwa kuna madhara ukiacha kumnyoa mtoto nywele za utotoni
Ila baadhi ya mila na desturi za makabila hapa Tanzania zinasisitiza kunyoa vichanga mara tu wanapofikisha arobaini.
Asanteni sana, nilimwona daktari wa watoto. Alisema kuwa ni jambo zuri mtoto anapotangulia kuota meno, na hii ni dalili kubwa kuwa ana madini ya chuma yakutosha. na kwamba hayatadumu yatatoweka.
Hata hivo baada ya miezi sita kupita sikuyaona tena yale meno, yalitoweka.
Na kwa sasa ana meno...
To illustrate, he points to the physics of black holes — collapsed stars that are so dense, nothing, including light, can escape their pull.
This was his attempt to describe the Infinite process by a finite example. Does it make sense to you?
"I think the universe was spontaneously created out...
Three things here;
1. With a high degree
2. With a low degree
3. With the lowest degree
1.IT person who create a system
2.A system user
3.A system
The "1" can create "3" and give restricted access to "2"
Once 2 become fully conversant with 3, it may reach a level that 2 things he has mastered...
Habari
Mwanangu ana umri wa miezi mitatu na wiki tatu sasa. Nimepatwa wasiwasi kuona jino upande wa kushoto chini (gego). Imezoeleka Watoto kuota meno ya kwanza ambapo vijino vinajitokeza mbele (incisors) lakini hii ya gego (premolar) imenifanya nichukulie serias kidogo. Ningependa kujua kama...
...swali la nyongeza
vipi kuhusu carina ti....sifa zake zikoje? Nini tahadhari juu ya kununua hii gari? Nataka kufanya uamuzi. Naomba ushauri kwa anayefahamu zaidi
...swali la nyongeza
vipi kuhusu carina ti....sifa zake zikoje? Nini tahadhari juu ya kununua hii gari? Nataka kufanya uamuzi. Naomba ushauri kwa anayefahamu zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.