hi, kwa wenye watoto au wataalam wa maswala haya,please ningeomba kujua kama kuna madhara yeyote nisipo mnyoa nywele za utotoni mtoto wangu,amezaliwa na nywele nyingi na ningehitaji nisimnyoe nianze kuzikuza kuanzia sasa.ushauri kwa anaefahamu please.
Hamna tatizo lolote.hi, kwa wenye watoto au wataalam wa maswala haya,please ningeomba kujua kama kuna madhara yeyote nisipo mnyoa nywele za utotoni mtoto wangu,amezaliwa na nywele nyingi na ningehitaji nisimnyoe nianze kuzikuza kuanzia sasa.ushauri kwa anaefahamu please.
Duh watanzania tumezidi ushirikina kila jambo lazima mawazo yaanzie kwenye giza...
wapi pamehusishwa na ushirikina ndugu?
Duh watanzania tumezidi ushirikina kila jambo lazima mawazo yaanzie kwenye giza...
hi, kwa wenye watoto au wataalam wa maswala haya,please ningeomba kujua kama kuna madhara yeyote nisipo mnyoa nywele za utotoni mtoto wangu,amezaliwa na nywele nyingi na ningehitaji nisimnyoe nianze kuzikuza kuanzia sasa.ushauri kwa anaefahamu please.
Inasemekana atakua na nywele za kipilipili. Sawa na kuwa na kibamia akitahiriwa bado mdogo.
Mi mwenyewe sitamnyoa mtt wangu nyweleHi, kwa wenye watoto au wataalamu wa maswala haya,please ningeomba kujua kama kuna madhara yeyote nisipo mnyoa nywele za utotoni mtoto wangu,amezaliwa na nywele nyingi na ningehitaji nisimnyoe nianze kuzikuza kuanzia sasa.Ushauri kwa anaefahamu please.