Nataka kununua Toyota succeed, naomba ushauri

uhaale

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
303
153
Ndugu wana jamvi hii gari nimeipenda kwanza ina nafasi kubwa ya kubeba mzigo, pili engine cappacity yake ni 1.5. nataka kununua hiyo kuna mwenye uzoefu nayo tusaidiane?
 
mimi natumia toyota succeed mkuu. iko vizuri sana. hakikisha ina engine ya 1NZ ambayo ipo hata kwenye raum. sio gari ya kusumbua sumbua. spare zipo kwasababu zinaingiliana na probox na raum kwa wingi sana.. consumption ndogo hasa kwa long safari. niliwahi kutoka arusha to dar kwa mafuta ya shs 86,000 only na hapo ni full A.C. ... hakikisha ukiinunua unaweka rims kubwa kidogo na tairi kubwa ili inyanyuke juu kidogo hata kwenye rough road isikuletee shida. otherwise its a very humble car..and spacious.. watu wengine huwa wanazicheka kua zina muonekano mbaya but I dont care.
 
Gari nzuri ndo mbadala wa noah, inabeba watu 10. Kama unataka kuifanyia biashara lakini
 
mimi natumia toyota succeed mkuu. iko vizuri sana. hakikisha ina engine ya 1NZ ambayo ipo hata kwenye raum. sio gari ya kusumbua sumbua. spare zipo kwasababu zinaingiliana na probox na raum kwa wingi sana.. consumption ndogo hasa kwa long safari. niliwahi kutoka arusha to dar kwa mafuta ya shs 86,000 only na hapo ni full A.C. ... hakikisha ukiinunua unaweka rims kubwa kidogo na tairi kubwa ili inyanyuke juu kidogo hata kwenye rough road isikuletee shida. otherwise its a very humble car..and spacious.. watu wengine huwa wanazicheka kua zina muonekano mbaya but I dont care.
Mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri, kuna jamaa yangu amechukua hivi karibuni yenyewe ni 4wd anasema consumtion ya mafuta ni ndogo, so bado niko kwenye mchakato.
 
Naomba kuuliza swali la nyongeza. Hivi, Toyota Succeed 4wd ni full time 4wd au ina censor ambayo in engage na kudis engage 4wd kuingia au kutoka sehemu inayohitaji 4wd? Wataalam na wadau karibuni tuchangie.
 
Mkuu kwan inaseat nyuma si inanafasi ya mzigo
Kule nyuma panawekwa vigoda kwa pembeni wanakaa watu wanne.siti ya mbele wanne. Sitibya dereva 2 na dereva wa tatu.jumla watu 11. Ndo usafiri wa mikoni mkuu. Ndo daladala hiyo
 
Duu si mchezoo wajasiriamali katika ubora wao
 
...swali la nyongeza

vipi kuhusu carina ti....sifa zake zikoje? Nini tahadhari juu ya kununua hii gari? Nataka kufanya uamuzi. Naomba ushauri kwa anayefahamu zaidi
 
...swali la nyongeza

vipi kuhusu carina ti....sifa zake zikoje? Nini tahadhari juu ya kununua hii gari? Nataka kufanya uamuzi. Naomba ushauri kwa anayefahamu zaidi
 
mimi natumia toyota succeed mkuu. iko vizuri sana. hakikisha ina engine ya 1NZ ambayo ipo hata kwenye raum. sio gari ya kusumbua sumbua. spare zipo kwasababu zinaingiliana na probox na raum kwa wingi sana.. consumption ndogo hasa kwa long safari. niliwahi kutoka arusha to dar kwa mafuta ya shs 86,000 only na hapo ni full A.C. ... hakikisha ukiinunua unaweka rims kubwa kidogo na tairi kubwa ili inyanyuke juu kidogo hata kwenye rough road isikuletee shida. otherwise its a very humble car..and spacious.. watu wengine huwa wanazicheka kua zina muonekano mbaya but I dont care.
mimi natumia toyota succeed mkuu. iko vizuri sana. hakikisha ina engine ya 1NZ ambayo ipo hata kwenye raum. sio gari ya kusumbua sumbua. spare zipo kwasababu zinaingiliana na probox na raum kwa wingi sana.. consumption ndogo hasa kwa long safari. niliwahi kutoka arusha to dar kwa mafuta ya shs 86,000 only na hapo ni full A.C. ... hakikisha ukiinunua unaweka rims kubwa kidogo na tairi kubwa ili inyanyuke juu kidogo hata kwenye rough road isikuletee shida. otherwise its a very humble car..and spacious.. watu wengine huwa wanazicheka kua zina muonekano mbaya but I dont care.
Mkuu umeweka tyre size gani? hata mmnimenunua hivi karibuni nimeona ipo chini but nimepanga kuinyanyua na Spacer, ushauri wako kuhusu hilo vipi mkuu
 
Katika mashine nilizokuwa naziadmire hii ni moja wapo sema shape yake ndo ilinizingua uzuri wake ina cc ndogo halafu nyingi ni vvti engine
 
Back
Top Bottom