Recent content by UTASHI

  1. UTASHI

    Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Poa mkuu,.Huo utaratibu wa kuwapatia namba za mtihani wanafunzi waliokosa pesa kipindi cha "registration" ni mzuri,(nimefurahi kusikia hivyo,maana zamani kuna baadhi ya jamaa zangu walikosa kufanya mtihani kwa sababu hiyo) maana inamuondolea mwanafunzi risk ya kurudia mwaka na pia inaongeza...
  2. UTASHI

    Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Kama baraza siku hizi wanakopesha watu,yaani hujalipa hela ya mtihani lakini wanaweza kukupatia namba ya mtihani na unafanya mtihani,na ukitaka majibu basi utatakiwa ulipie hiyo ada ya mtihani,hapo nakubaliana na wewe. Maana zamani ilikua kama hukulipa hela ya mtihani ni kwamba huwezi kupata...
  3. UTASHI

    Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Mtu akiwa hajajiandikisha/hakufanya mtihani huwa hapati alama za aina yoyote,Hayo matokeo ya zero mlioyaona huko baraza la mitihani aliyapataje? "Mchelea mwana kulia hulia yeye" Binti yenu ametenda kosa,na ninyi mmeogopa kumrekebisha na kumkanya,Kwa hali hiyo ujinga wenu nyie walezi wa...
  4. UTASHI

    Msaada:Nataka kufungua Duka la simu

    Haha,.Mpwa Chipukizi,kitu gani kinaonesha sikukuheshimu?..Wewe mwenyewe umesema umesoma wakati Nyerere akiwa bado Rais" nami kwa kusadifu jina lako nikaona tu nikukumbushe baadhi ya mambo halisi yaliyokuwepo hizo enzi zako..Usitoe povu mkuu.
  5. UTASHI

    Msaada:Nataka kufungua Duka la simu

    Jina lako tu linaonesha ni kweli ulisoma enzi za rais Mwl.Nyerere,......""Chipukizi...jeuri ya Chama!!!."".Siku hizi kimekua chama feki :smash:
  6. UTASHI

    Binti anapoolewa, kwanini familia hufurahi?

    Ndoa ni kupata uhalali,kibali halali cha kufanya hivyo.Viungo vya kugegedana vipo na vina uwezo wa kuhimili shughuli vikishapevuka (wazazi wanachotaka ni uhalali wa kufanya hivyo ndo maana wanafurahi mtu akiolewa).Uhalali unatakiwa ktk kila sehemu ya maisha na sio katika ndoa tu,Kila kitu kina...
  7. UTASHI

    Kwa alama hizi za form 4 anaweza kusoma advance?

    Kila atakaporudia mtihani na kufaulu utapata cheti kipya cha mtihani husika.Cheti cha awali na kipya (vipya) havitakua combined (Ila asipofaulu hapewi cheti).Kama akihitajika kuthibitisha kua ana credit tatu au zaidi atatakiwa kuambatanisha hivyo vyeti vyake vyote,maana vitakua tofauti kwa namba...
  8. UTASHI

    Kwa alama hizi za form 4 anaweza kusoma advance?

    Anatakiwa kutafuta credit moja.Maana kigezo cha NECTA ni credit tatu ili uweze kuruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita.Ila vizuri arudie masomo yote ambayo kapata D na F ili kupata uwanja mkubwa wa kuipata hiyo credit moja na pia kukisafisha cheti.
  9. UTASHI

    Kwa alama hizi za form 4 anaweza kusoma advance?

    Mkuu Kaplizer,Ni kipi kinachokukanganya? Kigezo cha kukubaliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ni lazima uwe na credits tatu [kwa shule za private na private candidate] (sasa anatakiwa atafute njia ya kupata hiyo credit moja,(njia yenyewe ni kurudia paper la form four,na kurudia sio...
  10. UTASHI

    Kwa alama hizi za form 4 anaweza kusoma advance?

    Kupata shule ya kuanza kusoma form 5 ni suala dogo,Shule nyingi atakazoomba ajiunge na form 5 atapata,ila watamuuliza ana plani gani ya kuziba hilo pengo la credit moja ili aweze kukubaliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita. Kwa kuokoa mda watu wengi huwa WANAJITOA SADAKA,yaani anaanza kidato...
  11. UTASHI

    Kwa alama hizi za form 4 anaweza kusoma advance?

    Credit 2 hatakua na vigezo vya kujiandikisha ili kufanya mtihani wa form 6.,Kigezo kimojawapo cha msingi ktk kukubaliwa kujiandikisha na kupata namba ya kufanya mtihani wa kidato cha sita ni lazima uwe na CREDIT TATU na kuendelea za O level,
  12. UTASHI

    Ni benki gani Tanzania ipo haraka katika kufungua akaunti?

    Habari wote na poleni na majukumu ya kila siku,. Naomba kuuliza,Hivi ni benki gani Tanzania mtu unaweza kufungua akaunti na ukapata ATM kadi yako siku hiyo hiyo na kuweza kuitumia,yaani bila kuelezwa habari ya kusubili na kuja kuchukua kadi yako siku nyingine? Asante!
  13. UTASHI

    Kwa alama hizi anaweza kupata chuo?

    Kusoma Certificate kwa scores hizo sio ngumu sana kupata chuo,.Kama ni ualimu aombe tu vyuo anavyotaka kwenda kusoma.Katibu muhtasi nayo ni nzuri pia,ajaribu.
  14. UTASHI

    Hoja: Kwa nini uchina ni mbia mkubwa wa ukoloni mamboleo nchini Tanzania?

    Ndugu Lunyungu,TEMILUGODA,na TECH WIZ:Ni kweli Marekani ni nchi ambayo bado ina nguvu sana kiuchumi,na itaendelea kua na nguvu hiyo kwa miaka mingi mbele.Ukuaji wa wa sekta ya uchumi wa China na sekta nyingine ni wa kasi kubwa sana.Marekani imekua ikikopa pesa nyingi kutoka China kwa kuendesha...
Back
Top Bottom