Kwa alama hizi za form 4 anaweza kusoma advance?

Maoni zaid wakuu ili niwe na uhakika wa tufanyacho...

Ni hivi kuna shule ambazo huwa wanawachukua kwenda form five ila lazima warudie mtihani ili wapate hizo credit tatu.. Issue ni kwamba baraza wanahitaji credit tatu kufanya mtihani wa form six...
 
mbona mnanikanganya

Mkuu Kaplizer,Ni kipi kinachokukanganya?

Kigezo cha kukubaliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ni lazima uwe na credits tatu [kwa shule za private na private candidate] (sasa anatakiwa atafute njia ya kupata hiyo credit moja,(njia yenyewe ni kurudia paper la form four,na kurudia sio guarantee kwamba atafaulu,anatakiwa akaze msuli.) baadhi ya watu wazembe wazembe ktk kusoma huwa wanarudia hata miaka mitatu ndo wanapata hizo credits na kuruhusiwa kufanya mtihani wa form six,.wengine wanarudia paper la form four mara nyingi na hawafaulu na kupata hizo credit na hapo ndo wanakata tamaa na ndio inakua mtihani wa form six ni ndoto ya mchana kwao,mpaka mwisho wa maisha yao).

Haijalishi umesomea nyumbani [au kokote unakokujua mwenyewe (Priate candidate)) au Shuleni,shule yeyote ya serikali au inayotambulika na serikali (School candidate),Ukiwa unazo credit tatu za form four utaruhusiwa kufanya paper la form six.

Mimi katika vyeti vyangu vyote "Form four na Form Six in PRIVATE CANDIDATE",.Na sikuwahi ku resit kwa mtihani wowote na sasa nina PhD.
 
Hongera kwa mafanikio ulofikia....
Sasa hapo anatakiwa arisiti masomo matatu au anaruhusiwa kutafuta credit moja tu.. Au mpaka aanze upya..
 
Anatakiwa kutafuta credit moja.Maana kigezo cha NECTA ni credit tatu ili uweze kuruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita.Ila vizuri arudie masomo yote ambayo kapata D na F ili kupata uwanja mkubwa wa kuipata hiyo credit moja na pia kukisafisha cheti.
 
Baada ya kupata hyo credit.... Anakuwa na vyeti viwili au?
 
Huyu ashaelewa usituzungue ww watu washasema anaweza kuendelea huku anaresit mitihan ya form 4 kwa masomo aliyopata d na f inategemea na uwezo wake unauliza tena na swali lengine anapata cheti chengine sasa ulitaka apate nini na hizo credit tatu zitaonekana vp mbururaa weee
 
hajanielewa kaka... Swali langu ni je? Atatumia vyeti viwili au kitatengenezwa cheti kimoja...
 
Huyu ashaelewa usituzungue ww watu washasema anaweza kuendelea huku anaresit mitihan ya form 4 kwa masomo aliyopata d na f inategemea na uwezo wake unauliza tena na swali lengine anapata cheti chengine sasa ulitaka apate nini na hizo credit tatu zitaonekana vp mbururaa weee

hajanielewa kaka... Swali langu ni je? Atatumia vyeti viwili au kitatengenezwa cheti kimoja... Chenye mjumuiko wa marks zote?
 
Baada ya kupata hyo credit.... Anakuwa na vyeti viwili au?

Kila atakaporudia mtihani na kufaulu utapata cheti kipya cha mtihani husika.Cheti cha awali na kipya (vipya) havitakua combined (Ila asipofaulu hapewi cheti).Kama akihitajika kuthibitisha kua ana credit tatu au zaidi atatakiwa kuambatanisha hivyo vyeti vyake vyote,maana vitakua tofauti kwa namba na pia mwaka.Kuthibitisha uwezo wa taaluma yake kwa issue yoyote,ni lazima aambatanishe vyeti vyake vyote.

Zile F na D ktk vyeti vya atakavyokua navyo hazifutwi kwa kutengeneza cheti kipya chenye kuonesha pass mpya ambazo labda ni nzuri.
 
Dah huu mfumo wa elimu siuelewi..maana huku kwetu Zanzibar mwenye ufaulu kama huo advance anaenda bila tatizo lolote ..mkuu
 
Anaweza kupata maana mm nilisoma na jamaa alipata matokeo kama hayo na Akachaguliwa kwenda Adv, BCD ni point 9 yaan sawa na CCC kinachofanyija D inakua Recharged kuwa C,
 
Back
Top Bottom