Alooo sijui kama abilia wanatetewa kwa kweli, hivi kazi ya latra ni ipi?
Jana asubuhi nilikata tiketi ya mdogo wangu alikuwa anatoka Moro kwenda Mwanza gari inaondoka saa tisa alasiri
Bahati mbaya kabla ya kuondoka dogo alipata changamoto ya kiafya akachelewa kama dk 10 gari ikawa imetoka...
Kuna jamaangu huko Morogoro alikuwa anatafuta kijana kwenye shughuli zake,
Ngoja nitawasiliana naye kufikia kesho nifuate pm
Narudia nifuate kama uko serious hapo kesho,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.