umeona alicho comment kwenye thread yangu NLIYOJIBIWA na mtu mwingne? Au na wewe unakurupuka fuatilia uone nani kadandia thread ya mwenzake na kuanza matusi
ndugu ni kwamba polisi/magereza anaruhusiwa kumpiga mfungwa au mahabusu risasi kama atakimbia na hata kama utamlenga kichwani makusudi ni sawa bz utajitetea kua ulitaka umjeruhi tu, JAPO HUTAHOJIWA SANA NA WAKUBWA ZAKO.
ILA KAMA MFUNGWAAU MAHABUSU KAKUKIMBIA UNA HATARI YA KUFUKUZWA KAZI NA...
ww pasco ni MPUMBAVU, sasa kama wafungwa wanataka kutoroka mikononi mwa polisi au magereza na badae iwe lawama au polisi kufungwa au kufukuzwa kazi bora UWAFYATUE WAKAFIE MBALI,.,wewe na hao wanaokusapoti kwa MIHEMKO U KUWASHWA KAENI KIMYA hamjui sheria kua mfungwa anapokimbia au mahabusu...
pumbavu wewe, unapanic nini? Sasa anapoonyesha hzo picha si hela anazopewa za misaada atachukua yeye sasa unamtetea nini?...AKILI YAKO KAMA UCHI WA MWANAMKE,,
Kuna kitu kinanshangaza hapa ndani MWANAUME akiweka tangazo anatafuta kazi watu watamchunia au kumkaushia ila akiweka BINTI wanajitokeza wadhamini au watu wengi wa kumsaidia.
Hii inamanisha nini?
juzi nliskia mkitangaza nafasi za kazi ya uhasibu, security officers, supervisor, security guard ..,kampuni mliyosema inaajiri sikusikia vizuri sijui ni KOPS, KOBIL, anayejua au aliyeiskia naomba antajie jina la kampuni na amwani ila walisema ipo mikocheni maeneo ya regency hotel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.