Natafuta kazi ya uvuvi, nina Diploma

Natafuta kazi ya uvuvi, nina Diploma

Ushungi wa Zanzibar
Yote unawezaka ila kuvua inaitaki hela ali uwe na boat something costfull sana
 
Njoo huku kigamboni ferry kuna mjomba wangu anavua sana samaki...baharini
 
Nina Diploma in Fisheries Management and Technology natafuta kazi

Habari,
Uko Dar?, experience yako ikoje kwenye Fish farming, nina project Dar iko kwenye ujenzi wa bwawa sasa,
 
Fani zingine dah!sasa hata wa ughaibuni wanakuja kuvua kwetu mpaka tuna wa arrest,sisi twende wapi sijui
 
[emoji115] [emoji115] Fanya mpango uanze....kupiga mzigo kwenye project ...za wazoefu then ndo uulize ajiraa apo mjombaa....Ajira ukubalii kuchezea matope kwanza[emoji1]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom