ushungi wa zanzibar
Member
- Jun 29, 2015
- 96
- 29
juzi nliskia mkitangaza nafasi za kazi ya uhasibu, security officers, supervisor, security guard ..,kampuni mliyosema inaajiri sikusikia vizuri sijui ni KOPS, KOBIL, anayejua au aliyeiskia naomba antajie jina la kampuni na amwani ila walisema ipo mikocheni maeneo ya regency hotel