Recent content by useyourcommonsensetothink

  1. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Naomba kumpa pole mke mkubwa wa mzee Hafidh Ameir mjane aliyetengwa na waombolezaji wakiwamo viongozi na dini

    kwa wanaojua maana ya ndoa, huyo ndiye mke halisi wa mzee.
  2. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Amani hailetwi na bunduki hata utumie risasi ngapi, sasa hivi tunafikiri amani tunaweza kuidumisha kwa kutumia polisi

    Huyu mzee Mungu amlinde. Maneno yake yanaonesha jinsi anavyoumia sana kutokana na kinachoendelea. Ukimsikiliza tu, unaona uongozi. Hawakuwa wakamilifu katika kipindi chao, lakini walifanya kwa kadiri ya uwezo wao. Tanzania inaongozwa na watu wasiojua historia ya nchi, wachumia tumbo tu, na...
  3. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Kila nikosma post za huyu Mzee Mayalla, nakata taama za waandishi wetu kabisa. Tatizo la nchi hii si serkiali ya ajabu iliyopo madarakani pekee, bali ni pamoja na kundi la wazee wengi waliozeka bila akili. What a trash
  4. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Je Haaland ni Albino? Mdau atoa sababu ya kitaalamu kwanini watu wengi wanadhani Haaland ana features za kiafrika ndani ya ngozi ya mzungu.

    Si mda mrefu mtimwita mungu. Maake ndo yenu. He is a normal human like any one of us. Fanya kazi, vijana.
  5. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Sasa, na sisi ambao tulibahatia kupata mabinti bikra pamoja na kuwa na umri ukubwa (> 27), tusemeje sasa?. KATAA NDOA?.Mabikra bado wapo Mkuu. sema tu, sometimes, hao ni umiza kichwa pia.
  6. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Kijana, don't settle with your agemate

    Upotoshwaji wa wazi. Acha kukariri Maisha
  7. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Tumezoea viongozi wetu na vyombo vya habari vya Bongo hutoa taarifa pale wanapokutana na viongozi mbalimbali wa kimataifa. Nimejaribu kutafuta habari ya mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na Mwendesha Mashitaka wa ICC, lakini sijaona kabisa kwenye vyombo vyetu vya habari au taarifa yoyote rasmi...
  8. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC wanatuchelewesha sana

    hawa wa ndio viongozi wa Tanzania eti.. what a trash
  9. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    sasa hakuna njaa, alafu inategemea upo kitengo gani,.. mbona unajikanganya mkuu?
  10. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Nimesikita kuwa katika taasisi zenye mishahara mizuri, taasisi zinazolea watoto wetu kuwa watu bora. Taasisi ambazo zinatakiwa kuleta bunifu zitakazochochea uchumi wetu, na kutengeneza ajira, hakuna hata moja kwenye list. Sijaona taasisi ambazo watu wake wanapigania uhai wetu. Je, ni sahihi...
  11. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaotumia Facebook mna akili timamu kweli?

    mkuu tambua kuwa, marafiki wako wengi fb ni wajinga. Unachopenda kutafuta fb ndicho unakiona kila mara
  12. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Point taken, boda boda wanafuata sheria sana. njoo TZ sasa.
  13. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    amesndwa tongoza mtoto wa kike.. life huko nje litakuwaje?:p
Back
Top Bottom