Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,886
- 828,469
Gentleman,
ICC haideal na mambo ya porojo au uzushi useless na nonsense kama unavyofikiria.
ICC ni open world institutions,
mambo yake yote inayokusudia kuyafanya yako wazi kwenye portal yake ambayo iko updated daily, na nchi ambazo ziko kwenye uchunguzi wa uzushi wa ukiukaji wa haki za binadamu zimeorodheshwa kwa uwazi kabisa.
Ramli, uzushi na porojo nonsense za vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi haziwezi kuipeleka Tanzania ICC hata siku moja![]()
