Recent content by username1

  1. username1

    Yule aliyekataliwa Januari kurudi tena kivingine

    Iko hivi yule kaka mchuuzi wa kisiasa ndiye yupo nyuma ya vijana wa meza kuu yake. Wameenda upande wa pili wanapima upepo lakini mpango ni kaka yao aje pindi mambo yamechangamka adai ni wananchi wameniomba. Hakuna kitu ni ulaghai tu na biashara ya kisiasa.
  2. username1

    Kero: Meneja uwanja wa CCM kirumba anasababisha kero

    Wadau kero yangu ni kuhusu tiketi za VIP B zinakatwa kupitiliza idadi/uwezo wa jukwaa hivyo kupelekea mashabiki kusimama kwa kukosa nafasi. Kila ninapokuja hapa hasa zikicheza hizi timu kubwa simba/yanga lazima ugomvi utokee. Hii inasababishwa na management kushindwa kusimamia vyema zoezi la...
  3. username1

    Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Msimuliaji ndiye alikuwa mzimu unaishi kwa hyo nyumba
  4. username1

    Kwa Mfano Mwamba Angesomea Harvad Ingekuaje?

    Akili kubwa hujadili mada, akili ndogo hujadili watu
  5. username1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23][emoji23]
  6. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii wiki tanesco mna shida gani na Tabata mnakata kata umeme mpaka kero Sent using Jamii Forums mobile app
  7. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco tabata mnataka kutuunguzia vitu maana mnakata na kurudisha umeme tu Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kwanini mmeweka madawati ya dharura simu zinapigwa hazipokelewi zikipokelewa watu wa dharura hawafiki eneo la tukio watz tunateseka sana Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. username1

    Maboresho ya JF - 2019

    Mngeweka pia signature ziwe zinaonekana kwenye app ya simu ingependeza zaidi Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. username1

    WALALE PEMA

    Ulale pema Jasiri muongoza njia Ruge Mutahaba Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba namba ya dawati la dharura Tanesco tabata
  12. username1

    Faragha (UWATA) Tanzania

    Kabla hujaongea uwe unasoma kwa makini kasema mkewe anaenda lutherani na huko sijui kapaita wapi?? Wewe inaonekana hujui lolote
  13. username1

    Faragha (UWATA) Tanzania

    Mwanadamu gani anaweza kuacha dhambi muache upotoshaji
  14. username1

    Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    Nakuona unajuhudi sana lakini si katika maarifa na kama nilivyosema u bado mtoto mchanga chakula kigumu hukiwezi Ebrania 5:14
Back
Top Bottom