Wakuu
Hapa najiuliza maswali kwa mfano mwamba mwenye kiburi cha elimu angepata bahati ya kupita harvad ingekuaje?
Au elimu yake ingesaidia kugundua mfumo wowote hata wa kodi kwenye nchi hii hali ingekua vipi?
Yaani achana na hizi elimu za hapa kwetu kijijini ambazo kiukweli tofauti ya msomi na asiesoma wala haipo tena muda mwingine asiesoma anaakili sana kuliko aliesoma!
Sasa muulize elimu yake hiyo ya kukariri ina impact gani kwenye hiki kijiji chetu utakuta vichekesho sana hata kule mtaani kwao haijafanya lolote la maana, yaani hata wanafamilia wake tu hawajauacha umaskini.
Nawaza angepita alipopita Obama, Chenge, ingekuaje?