Je uko up to date kwenye marejesho? Wafanyakazi wenzio wako up to date kwenye marejesho? Hakuna watu wamekimbiza mishahara kwenda kwingine? Mshahara wenu unafika kwa wakati?
Check kwanza hizo kitu maana service huwa inasitishwa kama kuna vitu kama hivyo hapo juu
Mkataba wa kukopa ni wa kwako, kwa hiyo unaweza kubadilisha marejesho utakavyo. Cha msingi makato yasizidi kiwango cha ukomo cha kukatwa kilichowekwa na benki na/ama mwajiri.
Naona povu jingi kwa taarifa ambayo hatujui chanzo chake wala kujua kama kuna ukweli gani ndani yake. Najua kama madam President ndo mgeni rasmi yaweza kufungwa kwa muda kupisha kufika na kuondoka lakini sio kwa masaa yote. Hii ni fake news kama fake news zingine
Wakati tunazungumzia problem solving tusiangalie mega problems. Hawa pia ni problem solvers kwenye maeneo yao, be it kwenye familia zao.
Lakini pia hata huko wanakoajiriwa pia wanasolve problems.
Sisi sote tunao wajibu wa kuwaunganisha hawa wanaofaulu na zile skills za maisha pia.
Tunapokosea...
Ukiingia tu kwenye website ya NIT utapata majibu yooote.. course gani zipo kama ni PSV, kama Ni gari za mizigo, kama ni VIP n.k. kisha utajua ratiba tarajiwa inaanza lini na inachukua muda gani. Utaambiwa pia mahitaji ya uzoefu wa kuendesha na leseni ya kuwa nayo kwa kila aina ya course.
Kila la...
Inategemea na benki unayotumia. Kwa kawaida wakala anaweza kutoa kiasi kikubwa sema.ndo inabidi uangalie wakala mwenye float kubwa..wengine hata milioni 1 hupati. Then kama walivyosema wadau hapo juu ukiwa na kadi yenye hadhi kubwa unatoa pia kiasi kikubwa.
Mfumo wa kodi za magari ndo changamoto. Miaka kadhaa iliyopita ilikuwa unaweza kuwaza kwamba angalau kodi jumla zitakuwa 60% maximum ya bei ya kununulia. Ila sasa hivi ni 100%+ ya thamani ya kununulia.
Mifumo ya "wanachama" wa kuendesha hizi club umezifanya zikashindwa kuweka utaratibu mzuri wa kuendesha mambo yake. Tujiulize maswali kadhaa hapa.
Je hawa wanaoitwa wanachama wamekuwa wakiziendesha clubs kwa michango yao au bado wamekuwa wakitegemea "hisani" za watu wengine?
Je kwa mfumo wa...
Kiukweli changamoto pekee niliyoiona kwa Suali na Newforce ni kufanya overtaking kwa kujiona miamba ya barabara. Ila kinachofanya wao wawahi kufika kuliko wengine ni ufanisi wao wa kujali muda. Hawana vituo vingi, hawana poteza muda barabarani.
Ila wakifika vituo vyao kabla ya muda kwa mujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.