Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuz kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
Kulikuwa na haja gani Mungu kumpa mtu akili ya kuunda/kutengeneza magari?
 
Analipishwa Milioni gari yake aliivalue kiasi gani? au mnachangia tu uzi bila ya uelewa namna gani Bima inafanya kazi.
Hapa Tanzania kuna majitu yanapenda sana kuropoka! Sasa hili taahira linajua maana ya Bima kweli? Hivi kuna mtu anajua ajali itamkuta lini? Natamani hili bwege lililoleta hii mada likule mzinga labda litaelewa maana ya Bima!
 
Gari ya milioni 12 BIMA yake ni almost laki Tano kwa mwaka. Kuna scenario mbili kugomgwa au kugonga.

Gari yangu ni mil 12 but taa yake ya mbele Moja ni laki saba., Side mirror laki tatu Moja, wind screen laki mbili, n.k So ukipata ajali itakayoumiza uso wambele it's obvious inaweza kukucost Zaidi ya 4m.

Pia Kuna scenario ya pili ya kugonga..hapa unaweza kukugonga mtu mwenye hummer, vx, boda n.k vyote Hivi ni gharama..taa ya nyuma ya vx it's almost 1m.

Kuna gharama zingine ambazo compr. Insurance inacover ambazo 3rd part haziwahusu mfano: gharama za kubeba hilo toka sehemu ya ajali, gharama za matibabu, replacement ya gari iwapo gari imeibiwa, au halitengenezeki n.k
 
Nyie ndio ambao mkishapata ajali mnaanza kuwasumbua watu wa bima wawafanyie michongo gari zenu ziingizwe mlipwe wakat mmekata bima gar ishapata ajali
 
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?
Umechemka sana mkuu.

Comprehensive sio kwa ajili ya kufidiwa gari ikiungua au kuibiwa tu bali hata ukigonga au kugongwa bima ita cover
 
Back
Top Bottom