Nina leseni daraja E nataka kwenda NIT. Mwenye uzoefu naomba muongozo

Ukiingia tu kwenye website ya NIT utapata majibu yooote.. course gani zipo kama ni PSV, kama Ni gari za mizigo, kama ni VIP n.k. kisha utajua ratiba tarajiwa inaanza lini na inachukua muda gani. Utaambiwa pia mahitaji ya uzoefu wa kuendesha na leseni ya kuwa nayo kwa kila aina ya course.
Kila la heri mkuu.
 
Back
Top Bottom