Atm inatoa mpka 10 milioni crdb ilimradi uwe n kadi kubwaNitoeni ushamba, Je, wapi unaweza toa pesa kwa mkupuo kiasi zaidi ya M5 iwapo kwa ATM limit ni 2 milioni.
Kadi kubwa ndio inakuwaje...Atm inatoa mpka 10 milioni crdb ilimradi uwe n kadi kubwa
Kuna kadi ya gold ambayo inatoa 5m kwenye atm...halafu platium inatoa 10m kwenye atm kwa mafungu ya laki 6Kadi kubwa ndio inakuwaje...
Mawakala wetu hawa wanaogopa kupigwa. Anakosa hata laki 5Wkala wanatoa hata 10 m Ili mradi awe na cash ya kukupa
Atm zinazotoa laki 6 zipo chache sana, nyingi zinatoa laki 4Kuna kadi ya gold ambayo inatoa 5m kwenye atm...halafu platium inatoa 10m kwenye atm kwa mafungu ya laki 6
Zile za zamani ndio inatoa laki 4,ila kuna hizi za sasa ndio hutoa laki 6Atm zinazotoa laki 6 zipo chache sana, nyingi zinatoa laki 4