Recent content by usawa wa

  1. U

    Serikali kuanza kutumia mfumo wa ukatishaji tiketi kwa njia ya mtandao kwa mabasi yote ya mikoani

    Wasafiri hawataweza tena kulanguliwa hapo, tiketi za kurushwa no tena....walanguzi wakatafute kazi ingine
  2. U

    Mzee Lowassa embu kuwa mkweli, Ina maana umesahau kiapo chako

    mpaka sasa siamini kabisa yanayotokea, na nimejiufnza mengi kwenye mchakato wote huu, kila upande umekosea , lakini kuna upande umepitiliza, unanipaka mashaka makubwa.
  3. U

    Kabaang ya tigo

    jiunge ttcl, unachajiwa kiukweli
  4. U

    Kunyonya Rahaaaaaaa

    yaani hii ni njaa gani sisi waafrika jamani , mbona si uungwana huu, usikute huyu anaweza hata kumpanda pia huyu mbuzi hv hv na njaa za mwili sikianza
  5. U

    Kunyonya Rahaaaaaaa

  6. U

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    daaaaaaaaaaaaaaa..........raha sana!!!! ukiangalia vitu hv, sasa ni wajibu wenuwaote sasa kujaribu kuvi keep vitu kama hivi visipotee kabisa....sawa kuna haja ya kujenga migorvya ofa lakini isifute vya kale, angalia waingereza majengo yao , wa ya keep bado. nimesikia kutoka machozi really...
  7. U

    Changamkia Dili hili la uwakala

    nikweli kingamuzi cha star times hovyo kabisa mi mwenyewwe nilinunua kipindi kile cha weldi kapu 2010, najuta kujifahamu, picha zinaganda ganda,yaani frustration tupu, ukipiga simu mara elekeza antena kisarawee, sijui weka nnnn hv, yaani full frustration kiko nyumbani kama pambo tu, sitaki hata...
  8. U

    Electric fence

    niandikie pcocall@live.com nikupe jamaa zangu wana bei poa kabisa
  9. U

    Kipanya na tanesko

    sometimes huwa naweza tafuta mwananchi ili nisome kipanya tu. Hivi hawezi weka kama album au kumbukumbu kwa vile vilivopendwa zaidi iwee kumbukumbu ukiboreka unakaa unapitia unacheka?. Baadhi ya vipanya nilivopenda ni pale mheshimiwa JK aliulizwa na kipanya kuh zigo alilobeba akajibu ' vipisi'...
  10. U

    Kipanya na tanesko

    jana niliichekaaaaa sanaaaa nilivoiona, jamaa anajua sana ku connect mambo na ucheshi....kipaji tosha
  11. U

    Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

    ebanaeee kitoto kinalipa vibaya mnooo, daaa, hata mie huwa nasema ukiangalia star search za wengine hii ya hapa ushuzi kabisa isipokuwa mtu chache sana kama Walter na yule mshindiwa Mwanza ndio wenye unique voice. Niliangaliaga ya Nigeria, yaani kama woooooote washiriki ni unique, anaetolewa...
  12. U

    Master j, madam rita na salama siku za kuaibishwa na kulia zaja

    hii * SEARCH ni mtu mmoja tu mwenye talent halisi - Walter, ana sauti very unique, anaizidi hata ya Diamond ambayo anagezea nyimbo zake. Hata majaji wameanza kumkubali huyu kijana, ambae mwanzoni walikuwa wakimuona wa kawaida tu na wapiga kura wakifata mkumbo wakitaka kumngoa. The rest ni...
  13. U

    Kwanini Ujenzi ni Gharama sana Tanzania?

    nilifanya sana survey nikapata mafundi weenye bei halali, anaetaka fundi mason, fundi tiles, fundi rangi, fundi madirisha ( aluminium), fundi milango/furniture, kitchen,fundi umeme, plumper, gardener, fundi grill za madirisha,milango ....anione kwenye email pcocall@live.com . Utafurahi na hizi...
  14. U

    Kwanini Ujenzi ni Gharama sana Tanzania?

    hata hivo kuna kamentality hapa bongo kwa wenye maduka na hata hawa mafundi,kwamba mtu akianza kujenga anazo, hivo bei za material zinapandaa kila kukicha na mafundi labour chajiwanaiweka juu bila sababu ya msingi, wakikuona mwanamke ndo kabisaaaa. Bora mtu ufany surveyya kutosha kabla hujaanza...
Back
Top Bottom