Recent content by Usangu

  1. Usangu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu njoo uone Ubungo interchange imekamilika

    Huo ni upumbavu wa kiwango cha juu Sana. Hata wewe ukiwa raisi utafanya hayo kwani ni Kazi za serikali yeyote Duniani. Tunataka Uhuru halisi wa watu, maendeleo ya watu na Haki kwa kila Mtu. Pili hilo Daraja ni Project ya Jakaya tenda ilitangazwa kipindi cha Jakaya. Hata huo mchoro...
  2. Usangu

    JamiiForums Tanzania Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

    Duh acha nikeshe nazidownload kesho nitarudi na mirejesho Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Usangu

    JamiiForums Tanzania Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam limepasuka Somanga

    Nikwamba Mitambo kule Songo songo imezimwa na kufunga bomba na bungu bomba linalopeleka kinyerezi limefungwa. Tuna subilia Gas iliyopo hapo hati kati so iishe kabisa ndio tupite, huenda ikawa kesho. Tupo Somanga tunakunywa supu ya Samakai
  4. Usangu

    JamiiForums Tanzania Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam limepasuka Somanga

    Kama ubungo, Mambo bado mabichi, uchovu kwa mbalii sijui ndio Gas
  5. Usangu

    JamiiForums Tanzania Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam limepasuka Somanga

    Maombo yenu ni Muhimu sana kwani Mpaka sasa tumekwama katikati ya Somanga na Tingi kwani kunamlipuko mkubwa wa Gasi itakayo Songosongo. Njia imefungwa mpaka sasa na hakuna uhakika wa kupita.
  6. Usangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya 7 leo hajarudi nyumbani baada ya kudukua simu ya Mkewe

    Kweli hapo mambo ni mazito
  7. Usangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu demu kila nikifanya nae mapenzi huwa nachoka sana

    Duh
  8. Usangu

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ya kuwekeza kipindi hiki kwa mtaji wa milioni 30 -50?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli hata mimi huwa nashangaa Sana nikishapata pesa, nakua sioni biashara nyingine zaidi ya ninayoifanya
  9. Usangu

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ya kuwekeza kipindi hiki kwa mtaji wa milioni 30 -50?

    Aende china akachukue, urembo, vyupi, achanganye na spare parts za pikipiki
  10. Usangu

    JamiiForums Tanzania Wakati sakata la Ndege halijakwisha, Symbion Power wameleta RB

    Wanatupa pressure, watatuwa jamani watuache kwanza
  11. Usangu

    JamiiForums Tanzania TARURA mnatesa wakandarasi, tulipeni pesa zetu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Usangu

    JamiiForums Tanzania TARURA mnatesa wakandarasi, tulipeni pesa zetu

    Unaonekana ni mmojawapo. Semeni ukweli ili tuwajuze wanao tudai na tujue jinsi ya kuishi.
Back
Top Bottom