Recent content by URU PEARL

  1. U

    JamiiForums Tanzania Diamond ni limbukeni wa mafanikio

    Hana tatizo,anajibrand na ndo anajithaminisha mimi sioni kama anakosea na bado mpaka mnyooke mwaka huuu go dangoteee...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Unazuiaje hasira zako?

    Mimi ni mgumu sana.. sana kukasirika ila nikikasirika mziki wangu hauzimiki...yaani cwez kuelezea ila mpaka nikasirike itakuwa nimeudhiwa kwl.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Unazuiaje hasira zako?

    Mimi ni mgumu sana, sana, kukasirika ila nikikasirika mziki wangu hauzimiki...yaani cwez kuelezea ila mpaka nikasirike itakuwa nimeudhiwa kwl.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Meninah: Mimi na Diamond hatuendani

    Ahhh dangoteee kwl pesa ndo habari dunia kila mtu anatafuta kick kutoka kwa diamond...sasa hivi hata mdomo umekuwa urembo
  5. U

    JamiiForums Tanzania Joh Makini unatia aibu

    mwache na simple life yake huwez kujua huku Arush ana nn DAR huko ni ofis tu kwake ni huku kaskazini... Joh Ndo maana akajiita mwamba wa kaskazn... kwao n sinon daraja2.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Diamond ashinda tuzo nyingine

    Wema sepetu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Diamond awajibu Team Wema

    diamond this is not fair kabisa, kabisa hiyo statment hukutakiwa kuitoa hadharan kama unampenda madam..ungempa mwongozo kupenda siyo umpende kitandan tu. penda na madhaifu yake Kwan ukamshaur hatakuckiliza....?If Wema is down nakwambia kuna namna na wewe utapwelea!..
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo

    akurembee unamgonga? yuko anayempenda na saut yake nzito hivyohivyo ndio maana vidole havilingani!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kibonde afungua baa na stationery

    Ephraim atafanyiwa operation ya meno yajipange sasa hivi kama Ay chongeni sana ye anamake money.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

    Tutamkumbuka kama the one and only miss TZ ambaye kwel umaarufu wake hauchuji,mtt aliyeipaisha juu nyota ya diamond..
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za mapenzi za kibongo

    Nikupe nini mpenzi- Mandojo na Domokaya.... Na wewe milele Ray c...jamani achen tu cwez kusahau gud old days!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Napenda aina hii ya mahusiano (no strings attached)

    Unasapoti Ukahaba lakini hujawa straight. Ndoa siyo agizo la mwanadamu lilitoka kwa Mungu.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Napenda aina hii ya mahusiano (no strings attached)

    Unasapoti prostitution lakini hujawa straight. Ndoa siyo agizo la mwanadamu lilitoka kwa Mungu.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda wine, naomba majibu hapa;

    Kuna aina mbili za wine kuna sweet wine na dry.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ndio. tunachelewa kulala lakini hatulali njaa ,kama unataka kujua vichochoro kula nauli mjini.
Back
Top Bottom