MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Kwa vigezo vipi? Yeye ameyapenda kwa vigezo alivyotaja na kama unaona si sawa basi weka vigezo.
endelea kusubiri vigezo badala ya kushirikisha ubongo
Kwa vigezo vipi? Yeye ameyapenda kwa vigezo alivyotaja na kama unaona si sawa basi weka vigezo.
Open relationship ni tofauti na no strings attached! hiyo open relationship ni pale watu wawili walioko kwenye uhusiano(ie ndoa), halafu wakakubaliana kuwa kila mtu anaweza kuchepuka endapo atajiskia kufanya hivyo.open relationship
Open relationship ni tofauti na no strings attached! hiyo open relationship ni pale watu wawili walioko kwenye uhusiano(ie ndoa), halafu wakakubaliana kuwa kila mtu anaweza kuchepuka endapo atajiskia kufanya hivyo.
Mfano mmojawapo wa walioko kwenye open relationship ni Brad and Angelina Jolie.
Aliyepo kwenye open relationship ndiye anayeweza kuchepuka kwa misingi ya no strings attached huko anopochepukia!
And frm my point of view,WOMEN js cant handle it,ts hard to do it na mtu usiempenda,u would always wish for more...
hakuna cha madada poa........
mnamzodoa tu mleta mada , ila hayo mahusiano ya hivyo yapo mengi sana mbona.
hivi hapo umetaja FAIDA au kaushuzi fulani hivi.............
watu wanapambana kurekebisha MAADILI yanayopotea, wewe unapambana kuyaharibu
Napenda aina hii ya mahusiano ambayo ni ya muda na haina masharti (A relationship that has no conditions or contractual requirements), ambapo wapenzi wawili wanakutana kwa muda na kuridhishana nafsi zao.
(Where two people decide to engage in a sexual relationship that has no ties or expectation with regards to finances, exclusivity or romance. Literally, there are no strings binding the two together)
Baadhi ya Faida za mahusiano yasiyo na mkataba
1. Makubaliano ni kulipa, kupata huduma na kusepa
2. Hakuna bla bla na kupotezeana muda
3. Hakuna kupandishana presha, sukari au magonjwa ya moyo kutokana na wivu
4. Hakuna uwajibikaji wa nyumba ndogo
5. Hakuna kupigana mizinga
6. Hakuna risk ya magonjwa ya ngono kwa sababu hakuna kuzoeana na kufikia uamuzi wa kuacha kutumia zana
Mwana JF, kuna faida nyingi ambazo sijazitaja na yeyote anaweza kuongeza. Au kwa wale mnaopinga aina hii ya mahusiano mnasemaje?
It might be SHOOyaKIBABESex partner?
I used to say that is the best kind of a relationship..nilipokua na kujua ngono is only a portion in a biiiig plate,nikaona kweli ule usemi wa ukikua utaacha una maaana kubwa sana!Napenda aina hii ya mahusiano ambayo ni ya muda na haina masharti (A relationship that has no conditions or contractual requirements), ambapo wapenzi wawili wanakutana kwa muda na kuridhishana nafsi zao.
(Where two people decide to engage in a sexual relationship that has no ties or expectation with regards to finances, exclusivity or romance. Literally, there are no strings binding the two together)
Baadhi ya Faida za mahusiano yasiyo na mkataba
1. Makubaliano ni kulipa, kupata huduma na kusepa
2. Hakuna bla bla na kupotezeana muda
3. Hakuna kupandishana presha, sukari au magonjwa ya moyo kutokana na wivu
4. Hakuna uwajibikaji wa nyumba ndogo
5. Hakuna kupigana mizinga
6. Hakuna risk ya magonjwa ya ngono kwa sababu hakuna kuzoeana na kufikia uamuzi wa kuacha kutumia zana
Mwana JF, kuna faida nyingi ambazo sijazitaja na yeyote anaweza kuongeza. Au kwa wale mnaopinga aina hii ya mahusiano mnasemaje?
We ulidhani ni nani labda...jawilat?Ok kwa hiyo kumbe wanaojiuza wateja wao ni wanaume?
It might be SHOOyaKIBABE