nakupa papuchi
ngoja nitafute chakukukacrisha kesho.
nakupa papuchi
Machoz tu hunishuka, na nisiongeleshwe muda huo maana naweza nikakung'ata tn pakubwa
Natafuta wa kumsimulia hasira zangu, basi nakua poa....nlikuaga nalia ila nkaona ni usengerema
nakupa papuchi
nakupa papuchi
Mmmh hii imekaa kifilipino zaidi lol
Wee Vally, wee mshari kweli .. au fighter????! umenichekesha..Kama upo karibu nakurushia chochote mradi nikutoe ngeu tu
Hiyo imekaa ki-Michael Moretti bana. No mercy. Nitake radhi mpendwa, la sivyo hizi njiti zinaisha, and their terrible death will be on your conscious.